Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Ndege ziende huko bila abiria. Kile cha Mpanda nasikia vijana wanafanyia mazoezi ya mpira. Sijui ni porojo?
zimekuwa ofisi za ma VEO, WEO na ofisi za CCM hata Tanesco na maji, Ofisa kilimo, mifugo wapo hapo. in
Na hile ofisi ya tra ..duh kweli kila mtu anapapenda kwao alakini sio kwa staili hii.Nafkiri upembuzi yakinifu haukufanyika.
Hivi mpanda unapeleka commercial charter,ama Chato,unapandisha watu,watalii ama kitu gani?
Okay,watu wenyewe hawarusi kwao wakishafika mjini?
Bora wachagga wao wanarudi kwao
Hii ni ofisi ya mbunge siyo ya spika! Sema tu kwa kuwa mbunge Sitta alikuwa pia ni spika watu wakasema ni ofisi ya spika!Hizi siasa ngumu sana kuzielewa ndugu yangu. Mi nilienda Urambo mwaka 2010 nikaikuta hiyo ofisi cha kushangaza hakuna activity zozote zinazoashiria kuwa hiyo ofisi iko active.
Ilikua ni bad expenditures kwa government kujenga hiyo ofisi. Maswali yako ni ya msingi sana kwa upande wa pili wa shilingi. Wasiwasi wangu ni kwamba haya maswali hata yakipelekwa bungeni hakuna majibu ya msingi yatakayotolewa. Tugange yajayo
Hakujenga yeye ila ni serikaliMkuu uko Nchi gani wewe? Mzee Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni mwake mpaka leo sijui huyu Mzee alikuwa anafikiri nini, lakini ndivyo Viongozi wa Afrika walivyo maana hata Gaddaffi alijenda Makao makuu ya AU kjiji kwao Siirte