Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono.
Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa unatengenezwa Ili Kuirejesha USSR.
Nchi Zote zilizojimega kipindi kile Russia haijawahi kuzitambua Kama Nchi.
Putin Anaamini kabisa Hizo Siyo Nchi soon zitarejeshwa Na Kuwa majimbo Ya Russia 🇷🇺.
Karata ya Putin kumfitinisha Trump na wanachama wa NATO unaelekea kuzaa matunda, ila ndivyo nchi za EU zitatumia misuri yake ya kiuchumi ambayo ni zaidi ya dola trilioni 20 unapo jumuisha Canada na UK bila kumgusa mataifa mengine.
Pia soma: Trump adaiwa kuwasiliana na Putin angalau mara 7 baada ya kutoka ikulu ya White House mwaka 2021
Turudi kwenye mada.
Nini mwisho wa Trump ndani ya whitehouse baada ya kupanga kufuta misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine pamoja na silaha, lakini pia ana mkosea heshima Raisi aliepita BIDEN kwani anampango pia kufuta msaada wa kijeshi uliotolewa na BIDEN,
Haitaki mema UKRAINE, MAREKANI pamoja na washirika wa MAREKANI, anataka UKRAINE ichukuliwe na URUSI, msiba huu sio wa UKRAINE TU,hata ULAYA,maana yake anaunga mkono maadui wa MAREKANI.HII HAIKUBARIKI SOON WATAMTIMUA
Nguvu ya cia katika kufanya maamuzi ayo staki niingie deep kuhusu CIA unaweza kupitia refencess ( the death of j.f Kennedy 1963)
Pia soma: Mauaji ya JF Kennedy - rais wa 35 wa USA : Namna yalivyotokea!