Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?