Nini hatima ya wafuasi wa CHADEMA katika mpira wa Tanzania ?

Nini hatima ya wafuasi wa CHADEMA katika mpira wa Tanzania ?

Tatizo kubwa la hii nchi upinzani upo dhaifu sana, na ndio mana watu wengi ni wanafiki. na udhaifu wa upinzani haupo tu kwa viongozi wa vyama vya siasa bali zaidi kwa wafuasi.
 
Vichwa vinawauma walahi🤣.

wakiamia Mamelody ya South wanakutana na A.N.C pacha wa CCM😅🤣
balaa juu ya balaa bana,,dah,,!
 
Kuna mechi huwa naona Picha za Sa100 na mabango kiwanjani,pia mara moja niliona Picha ya Mbowe na nembo na bendera ya CDM,ila Camera za Azam zilikimbia sana 😀 kuonyesha nembo za CDM
 
Back
Top Bottom