Sijakuelewa mkuuMpira haunaga chama cha siasa kijana... ni dalili za kuhaha haha kwa CCM baada ya kuona kila kuti lishakauka ndo wanajaribu kukimbilia hili la Mpira wa pendwa wa miguu kujaribu ahueni.
Sheria za FIFA zipo wazi kabisa kwa mambo haya na chama langu Wekundu wa Msimbazi lipo makini sana kujiingiza kwemye mitego ya kijinga.
Katiba mpya ! Hayo mambo ya mpira ni hooliganism, let us concentrate on the future of our kids.Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Hizo timu zina wachezaji wageni hivyo kuwahushisha kwenye siasa za Tanzania ni kosa kisheria.Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Wana hatua zipi tunawaona benjamini mkapa wanabeba picha za samia na kushangilia mil 10 kila goli!Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Katiba mpya ! Hayo mambo ya mpira ni hooliganism, let us concentrate on the future of our kids.
Waunde timu zao.....πππBaada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Nakuhakikishia kwamba walioshiriki huo uchafu ni Wasemaji wa hizo timu, wala siyo Timu zenyewe, timu ni watuBaada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Ndio wanakoelekea.Hawakwenda pale kwa shughuli za timu lakini uccm wao na maokoto waliyo tajiwa, lakini siku wakipeleka timu kwenye shughuli zao za vyama hapo ndio hata sisi tusio shabikia vyama vya siasa itabidi tuhoji kwa nguvu
Watulie tu wapambane na hali zao kwani lazimaBaada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Ccm wameshazipotezea siasa mvuto, sasa wameona warukie kwenye soka ambako kuna hamasa. Kwa bahati mbaya watu wameshaikinai ccm, sana sana watu wanachofanya ni kuchota hizo pesa za majizi wakijiafanya wako nao. Lakini wakati wa uchaguzi ndio watajua watu wameshazipotezea siasa muda mrefu.Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?