Tatizo kubwa la hii nchi upinzani upo dhaifu sana, na ndio mana watu wengi ni wanafiki. na udhaifu wa upinzani haupo tu kwa viongozi wa vyama vya siasa bali zaidi kwa wafuasi.
Kuna mechi huwa naona Picha za Sa100 na mabango kiwanjani,pia mara moja niliona Picha ya Mbowe na nembo na bendera ya CDM,ila Camera za Azam zilikimbia sana 😀 kuonyesha nembo za CDM