Nini hatima ya walodahiliwa kwa ajili ya ualimu daraja la 3A?

Nini hatima ya walodahiliwa kwa ajili ya ualimu daraja la 3A?

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
jamani wadau naomba tujadili kwa pamoja, ni nani anafahamu hatma ya wadogo zetu waliodahiliwa na private institution kwa ajili ya ualimu daraja la 3A?

maana huku mtaani ni mkanganyiko sana, kwani serikali ndio ina ajili na gov't hiyo hiyo ndo imetangaza kuwa imefuta daraja la 3 A, sasa na wakati tayari vyuo vilisha anza kudahili na tayari washa anza kusoma wanafunzi. na huku ikionekana kama tangazo limechelewa kuja. nani mwenye ufahamu wa hili wadau
 
waziri katangaza kuwa waendelee kusoma.Mkakati wa mwakani ni intake zitakazochukuliwa kwa vyuo vyote ni dip.
 
baada ya majadiliano na wakuu na wamiliki wa vyuo na serikali walikubaliana kuwa wanafunz waliodahiliwa waendelee na masomo kwenye vyuo vya private ila hao ndio watakao kuwa wa mwisho
 
Back
Top Bottom