Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
jamani wadau naomba tujadili kwa pamoja, ni nani anafahamu hatma ya wadogo zetu waliodahiliwa na private institution kwa ajili ya ualimu daraja la 3A?
maana huku mtaani ni mkanganyiko sana, kwani serikali ndio ina ajili na gov't hiyo hiyo ndo imetangaza kuwa imefuta daraja la 3 A, sasa na wakati tayari vyuo vilisha anza kudahili na tayari washa anza kusoma wanafunzi. na huku ikionekana kama tangazo limechelewa kuja. nani mwenye ufahamu wa hili wadau