Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkupuo wa kwanza zaidi ya 300 wamekuwa mawakili binafsi, bado mikupuo mingine ya Law school. Nini hatima ya hii taaluma nyeti kwa hapa TZ??

Sijaelewa hii notion ya "voda fasta" inatoka wapi! Kwa sababu ni wengi (quantity) au ubora (quality) sio mzuri? Na kama ni habari ya ubora, nani aliyefanya research kuufahamu ubora huo?
Bongo ni matatizo kweli, kutokana na uchache wa mawakili waliokuwepo, wakafanya demand iwe kubwa, hivyo legal fees zikawa juu sana watu wa kawaida wakashindwa kumudu enzi hizo, UDSM ndio chuo pekee kikitoa LL.B, tena admission ilikuwa only 60 students tena wote ni wa Div One.Mkupuo wa kwanza zaidi ya 300 wamekuwa mawakili binafsi, bado mikupuo mingine ya Law school. Nini hatima ya hii taaluma nyeti kwa hapa TZ??
nashukuru watanzania wachambuzi mpaka wanashindwa kuwa na ukomo wa upembuzi,ivi kupitia law school unaona is a Joke?kama kati ya candidates 300 wanafaulu 25-35 huoni kama ni kama ilivyokuwa awali kuwa wanaapishwa mawakili 20-40 kwa intake moja ya CLE.Mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa legal proffessional is a performance and not not been big headed on the way brought others in the field
Labda wakiwa wengi gharama zao zitapunguahivi do we need lawyers to develop? ni swali tu. maana hata gharama zao ni vigumu kwa mlalahoi kama mimi kuwa na advocate kusimamia kesi zangu. they end up defending mafisadi and in the end hata wao wnaishia kuwa mafisadi.
Labda wakiwa wengi gharama zao zitapungua