Nini hatma ya CHADEMA baada ya kikao cha kamati kuu ya dharura Kesho 3/6/2025

olekamaru

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
79
Reaction score
76
Najiuliza nini hatma ya CHADEMA baada ya kikao cha kamati kuu ya dharura Kesho 3/6/2025.

Maamuzi ya kamati kuu Kesho ndio hatma ya CHAMA hicho kwani wakiendelea kukaidi sijui nini kitatokea.

Nauliza nini hatma ya viongozi WA CHADEMA waliopatikana katika Uchaguzi WA serikali za mitaa November 2024 endapo CHADEMA itafitiwa usajili.
 
Liwalo na liwee tu ..

CCM c mmeamua kuwa wababee
 
Najiuliza nini hatma ya CHADEMA baada ya kikao cha kamati kuu ya dharura Kesho 3/6/2025.

Maamuzi ya kamati kuu Kesho ndio hatma ya CHAMA hicho kwani wakiendelea kukaidi sijui nini kitatokea.

Nauliza nini hatma ya viongozi WA CHADEMA waliopatikana katika Uchaguzi WA serikali za mitaa November 2024 endapo CHADEMA itafitiwa usajili.
Hatma yake ikifutiwa usajili au baada ya kikao cha kamati kuu au vyote?
 
CCM wajipange siku ubingwa ukibaridiki Kuna watu watakimbia nchi
 
Najiuliza nini hatma ya CHADEMA baada ya kikao cha kamati kuu ya dharura Kesho 3/6/2025.

Maamuzi ya kamati kuu Kesho ndio hatma ya CHAMA hicho kwani wakiendelea kukaidi sijui nini kitatokea.

Nauliza nini hatma ya viongozi WA CHADEMA waliopatikana katika Uchaguzi WA serikali za mitaa November 2024 endapo CHADEMA itafitiwa usajili.

CC wasisupaze shingo ,siku zote ukishindana na mamlaka lazima utaumia(Wallace karia) ,kama wana uhakika akidi ilitimia waitishe tena huo mkutano mkuu/baraza kuu wachague tena ,kwa muibuko wa chaumma wakisema washupaze shingo msajili anawala vichwa.
 
Kushindana na mtu aliye shika mpini alafu wewe umeshika makali obviously utaumia wewe uliyeshika makali . Hivyo basi viongozi waliopo hamna namna wafanyaje tu compromise wafanyaje uchaguzi mwingine waweze kuendelea na kí,maana kitu ambcho ninachokiona hapa chadema wanafanyiwa rafu za makusudi, imagine ili umefutiwa usajili that means hauna haki ya kufanya mikutano ya hadhara. Huku wananchi wenyewe ambao ndio wangetakiwa kufanya protesting kuonesha solidarity na viongozi wao ndio ma key board warriors.
 
Back
Top Bottom