Kushindana na mtu aliye shika mpini alafu wewe umeshika makali obviously utaumia wewe uliyeshika makali . Hivyo basi viongozi waliopo hamna namna wafanyaje tu compromise wafanyaje uchaguzi mwingine waweze kuendelea na kí,maana kitu ambcho ninachokiona hapa chadema wanafanyiwa rafu za makusudi, imagine ili umefutiwa usajili that means hauna haki ya kufanya mikutano ya hadhara. Huku wananchi wenyewe ambao ndio wangetakiwa kufanya protesting kuonesha solidarity na viongozi wao ndio ma key board warriors.