Nini hatma ya darasa na cloudsmedia ktk kufanana kwa brand moja ya CMG

Nini hatma ya darasa na cloudsmedia ktk kufanana kwa brand moja ya CMG

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Naomba kujua wanajf kwa wafatiliaji wanafahamu kuwa darasa ni mmiliki wa rekodi lebo iitwayo CMG yan Classic Music Group na kwa wakati huohuo cloudsmedia wanafahamika km CMG yaan Clouds Media Group, wanandugu cjui hatma ya cmg ya darasa mana amekutana na komesha ya bongofleva
 
Yaani Classic Music Group na Clouds Media Group acha uvivu wa ku fikiri wewe...
Clouds Media Group si record label afu pia kufanana ufupisho si shobo...
Ongeza upeo kidg , zote ziko kwenye entertainment field
 
Kwenye utambulisho wa kampuni hakitumiki kifupi bali jina zima.
 
Uzuri wao wana utofauti wa lebal na company.
 
youngdonats hayo maswali yabinstagram kawaulize wenzako huko
 
Duuh bongo bwana kwakufuatilia mambo ya watu,yaani ukifanya kitu positive tuu kila mtu anajifanya anakujua
 
Sio kila mtu lazima kuanzisha Uzi unaweza kuwa mchangiaji tu!! Kiazi wewe
 
Hivi kichaa akiwa ametulia/kapumzika mahali huwa anawaza kitu gani?
 
Back
Top Bottom