ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti.
Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha wanatoa pesa na support ya kutosha kuhakikisha mtu wanayemsapoti anashinda.
Kwa sera mpya za Mwenyekiti Lissu kuwa ubunge vitu maalumu ni miaka 5 tu, je nini Hatma ya Wabunge Hawa ambao wengine ni wenzi wa viongozi wa zamani wa Chadema.
Nimesikia pia Wabunge hawa walikuwa washaongea na baadhi ya viongozi Ili kuangalia ni namna Gani watarudi Chadema na kupata nafasi ya kugombea au hata ya viti maalumu.
Pia inavyoonekana Mh. Lissu atagombea Urais wa TZ hivyo nafasi ya Urais itakuwa na mchuano mkali sana, vijana watanganyika mkajiandikishe kupiga kura
Pia soma