Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Lissu na jopo lake wakae nao waangalie namna ya kuwasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana vote hakikisheni mnahamasishana kujiandikisha ili ikifika muda wa uchaguzi tuipigie kura chadema kwa wingi.Tangu leo nimehamia upinzani rasmi.
Nawashangaa Machadema wanapotoleaga mifano ya hizo Nchi.Sasa mkuu mara unakataa mara unakubali
Rais ana mamlaka makubwa sana
Na wengi huwa Dictators kama Nyerere alivosema
Uwe na siku njema
Mimi sio chadema wala sipo hukoNawashangaa Machadema wanapotoleaga mifano ya hizo Nchi.
Huko USA hata Rais ana Kinga akiwa madarakani
Chadema itakaa chini iwaunganishe wote. Watafanya maridhiano ya ndani
Hapo walipo pampers zinabadilishwa kila baada ya lisaa limoja. Huyo Simba wa CDM si wa mchezo mchezo... wana mlima mrefu unless kama watubu na wawaangukie wajumbe mambo yaendeKwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti.
Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha wanatoa pesa na support ya kutosha kuhakikisha mtu wanayemsapoti anashinda.
Kwa sera mpya za Mwenyekiti Lissu kuwa ubunge vitu maalumu ni miaka 5 tu, je nini Hatma ya Wabunge Hawa ambao wengine ni wenzi wa viongozi wa zamani wa Chadema.
Nimesikia pia Wabunge hawa walikuwa washaongea na baadhi ya viongozi Ili kuangalia ni namna Gani watarudi Chadema na kupata nafasi ya kugombea au hata ya viti maalumu.
Pia inavyoonekana Mh. Lissu atagombea Urais wa TZ hivyo nafasi ya Urais itakuwa na mchuano mkali sana, vijana watanganyika mkajiandikishe kupiga kura
Pia soma
TanzanaaNadh
Nadhani mwenyekiti Mpya Chadema hiyo iwe Agenda yake, mana Vijana wanajielewa SEMA tu wanapenda bongo fleva na umbea kuliko siasa, ila wakipata hamasa.
Pia Chadema ijaribu kudhamini wasanii wake wa bongo fleva wapya kabisa ambao Toka wanatoka wajulikane ni Chadema , wasanii na vijana wapo karibu sana
Tanzania IPO president circular, ndo kama hiyo executive order, nadhani mtaiona Lissu akiingia madarakani mwezi wa 10Sasa mkuu mara unakataa mara unakubali
Rais ana mamlaka makubwa sana
Na wengi huwa Dictators kama Nyerere alivosema
Uwe na siku njema
Wengime wataanua virago na kubisha hodi mboga mboga rasmi na sio tena kama wageni wqalikwaKwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti.