Nini hatma ya Halima Mdee na wenzake 18 baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

Chadema itakaa chini iwaunganishe wote. Watafanya maridhiano ya ndani
 
Nawashangaa Machadema wanapotoleaga mifano ya hizo Nchi.

Huko USA hata Rais ana Kinga akiwa madarakani
Mimi sio chadema wala sipo huko
Nilipiga kura kuichagua Conservative na miaka yote nipo Conservative ila nachangia tu mada za nyumbani
Kwa Africa ukiwa mpinzani wanaona una lako jambo ila huku wanabadili kutokana na uwajibikaji
Labour hawatachukua tena wananchi wamejifunza kitu
Haya Mkuu acha nipambane kwani huku bado mapema
 
Baada ya matokeo naona Mbowe hapigi makofi tena!
 
Kile kichaka kidogo sana kilichokuwa kimebakia ndani ya Chadema cha kuwalinda, kuwatunza na kuwatia faraja wabunge wa Covid 19 na mabwana zao kwa sasa kimefyekwa na kuangamizwa kwa moto mkali kufuatia ushindi wa Tundu Lissu.

Muda ndio huu sasa wa Halima Mdee, Esther Matiko, Benson Kigaila, Salum Mwalimu nk kuanza kubeba mabegi ili kujiandaa kuhamia rasmi CCM.
 
Covid 19 ni bore waelekee ACT, ndio best place for them kwa sasa hivi.
 
Hapo walipo pampers zinabadilishwa kila baada ya lisaa limoja. Huyo Simba wa CDM si wa mchezo mchezo... wana mlima mrefu unless kama watubu na wawaangukie wajumbe mambo yaende
 
Tanzanaa
Sasa mkuu mara unakataa mara unakubali
Rais ana mamlaka makubwa sana
Na wengi huwa Dictators kama Nyerere alivosema
Uwe na siku njema
Tanzania IPO president circular, ndo kama hiyo executive order, nadhani mtaiona Lissu akiingia madarakani mwezi wa 10
 
Wengime wataanua virago na kubisha hodi mboga mboga rasmi na sio tena kama wageni wqalikwa
 
Wale hawarudi chadema, wakimaliza term za ubunge wapo watateuliwa vyeo na ccm wapo wataachwa, lakini chadema hawarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…