Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jela Jela tuanalazimikaje kuliwa na bwana jela kwa kazima!?..lulu ana watu wengi..atahudumiwa vizuri wala hatopata shida unazotaman apate
Sina hakika lulu alikaa ndani miezi mingapiwanasheria naomba mnifafanunulie vitu viwili, mtu akihukumiwa kifungo jela ilihali alishakaa mahabusu lets say 6 months, ile miezi huwa inatolewa kwenye ile 2 years? la pili, hii issue ya jela asubuhi na mchana kuwa ni siku mbili tofauti is it true?
la mwisho lulu alishakaa mahabusu miezi mingapi?
Majay atamuoaKesi inaweza kumpata kessy, upo sawa!
Hakuna chuki ya jumla as compared to chuki binafsi.
Kwenye siasa wakihukumiwa kifungu kuna privilege za kisiasa huota mbawa.
Huyu Womanslaughter keshaji scrap mwenyeeewe!
Ataishia kugegedwa mashavu ya mbu. nye yawe lepelepe.
Hakuna mwanaume wa kupanga maisha na muuaji.
Unajua masharti ya msamaha wa Rais ?9 December Lulu anatoka kwa msamaha wa Raisi.
Kwani shida ipo wapi.
Si kweli. Hataweza kutimiza majukumu yake kwenye mkataba hivyo hawawezi kumlipa!Mkataba utaendelea kuwa pale pale mpaka utakapo Isha mda wake na atapokea kama kawaida mpunga wake. Hiyo ndio sheria
Kwenye mitigation, watakuwa wamefikiria muda aliokaa mahabusu ndiyo akahukumiwa miaka miwili. Nawaza tu!wanasheria naomba mnifafanunulie vitu viwili, mtu akihukumiwa kifungo jela ilihali alishakaa mahabusu lets say 6 months, ile miezi huwa inatolewa kwenye ile 2 years? la pili, hii issue ya jela asubuhi na mchana kuwa ni siku mbili tofauti is it true?
la mwisho lulu alishakaa mahabusu miezi mingapi?
Ataifiligisa na kutoka nduki!Majay atamuoa
Kuna kitu kinaitwa tafrani au frustration Kiki kifungu namba 62,sheria ya mikataba.Sasa mbunye inahusika vp hapo kwenye mkataba. Mbunye ni mbunye tu sijakataa kama atafanywa hivyo ila mm nimeelezea kiuchache sheria ya mkataba wake. Mambo ya mbunye atajua yy na hayapo katika mkataba.