Nini hatma ya mlemavu Chiba baada ya Yamoto band kusambaratika?

Nini hatma ya mlemavu Chiba baada ya Yamoto band kusambaratika?

Huwa ana kwenda na Aslay kwenye show...hata Beka...
 
Yuko na Aslay wanapambana pamoja nimeomuona kwenye show kadhaa anatumbuiza nae
 
Back
Top Bottom