Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Kwa hiyo hiyo definition yako ya mfano thabiti imepwaya, unakubali hilo?
Haiwezi kupwaya mkuu ni kawaida kwa kila Definition/taaluma/nadharia ina kuanzia 0.5 ya erra ipo hivyo hakuna perfect 100%
 
Haiwezi kupwaya mkuu ni kawaida kwa kila Definition/taaluma/nadharia ina kuanzia 0.5 ya erra ipo hivyo hakuna perfect 100%
Definition yako imefikisha asilimia ngapi kati ya 100 na umejuaje hilo?
 
Salama was at Citi and BOT halafu sijamsikia tena.

Tulikuwa tunasoma na mtoto wa rais mpaka hatuamini kama huyu mtoto wa rais alivyokuwa low key.

Pale kulikuwa na home training fulani na mambo ya dini dini kiaina inacheza.

Umesoma Muhimbili?
 
Salama alikua anawachukulia poa sana hao jamaa....mda mwingine alitumia lugha za maudhi na udhalilishaji kwa hao jamaa....ni bora waangalie ustaraab mwingine aisee...
 
Mimi sioni shida ipo wapi. Kuna kitu kinaitwa audience. Kipindi kina target audience fulani kwa hiyo if you are not part of that audience huwezi kukielewa. Ni kipindi ambacho hakitakiwi kuwa very formal ni kama mnakuwa mnapiga tu stori fulani za kitaa nafikiri ndo dhana yake kuu. Si unajua mkiwa saloon kuna stori zinaweza zikawa zinaendelea. Kwa hiyo wao wanachofanya wanaleta celebrities na kupiga nao stori kikawaida ndo mantiki ya kipindi kizima. Hakitakiwi kuwa serious sana ndo maana wakawaweka hata hao presenters. Ni sawa na vipindi vingine vya TV kama Friday Night live na vinginenvyo.. Kama unnataka content kaangalie hivyo vya Jenerali Ulimwengu..
 
Byach ni yule aliyekuzaa binadamu usiye na common sense. Unaishi maisha ya vitabuni. Poor you!
Mkuu achana na huyo M.r Poor(kiranga) huyo ni mtumwa wa kifikra na kiakili. Most of them ni failure kabisa katika jamii zetu, Watu kama hao huishi maisha ya kukariri bila ku reflect na real environment.
 
uyo john hakuwa na kaz yyt mkasi,binafsi nlikuwa simpend maswal yake yalikuwa hayana mbele wala nyma
ye kazi yake ni kunyoa nywele za watu so hata mkasi isipokuwepo kazi yake iko palepale saluni.
 
1. Nimeongelea hayo yote ya audience, soma vizuri.

2. Hata kwenye audience, kuna basic decorum, kama habari ya kusema machotara waoane wenyewe kwa wenyewe wakioana na weusi wataharibu weupe wao, ambayo mara nyingine haizingatiwi na kipindi, hii haina audience, ni basic decorum tu.
 
Nadhani huo ni mtazamo wako na mimi nimetoa mtazamo wangu ambao upo tofauti..Ukiangalia hiyo statement itakuwa imetolewa katika mazingira ya mzaha sababu kama nilivyosema kipindi hakipo formal. Hivi unasemaje kuhusu kipindi kama daily show ambacho kinaendeshwa na Trevor Noah? Na nilivyoongelea kuhusu audience nilikuwa naongelea segmentation ya viewers. Kwa mtazamo wangu kipindi cha Barbershop kina target zaidi vijana wa urban na ni zaidi ya kijiwe cha stori ambacho kimekuwa TV show..Kwa hiyo they talk of random things kama mkiwa kwenye kijiwe cha mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…