INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
usipofika chuo kikuu unakuwa na elimu ndogo kumbe??!!Kipindi kizima kilikuwa na utapiamlo wa elimu, ndiyo maana hata hao wakaweza kuwepo.
Salama anaweza kuuliza maswali au kusema vitu vya ovyoovyo vinavyoonesha kabisa tatizo la elimu ndogo.
Niliangalia kipindi kilichomuhoji January Makamba, nikategemea maswali magumu, nikawa disappointed.
Nikaambiwa nina high expectations, naangalia Mkasi huku nikitegemea maswali ya "Hard Talk" na "60 Minutes".Nikaambiwa hiyo ndiyo style yao.
Kuanzia hapo sijaangalia tena.