Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Kipindi kizima kilikuwa na utapiamlo wa elimu, ndiyo maana hata hao wakaweza kuwepo.

Salama anaweza kuuliza maswali au kusema vitu vya ovyoovyo vinavyoonesha kabisa tatizo la elimu ndogo.

Niliangalia kipindi kilichomuhoji January Makamba, nikategemea maswali magumu, nikawa disappointed.

Nikaambiwa nina high expectations, naangalia Mkasi huku nikitegemea maswali ya "Hard Talk" na "60 Minutes".Nikaambiwa hiyo ndiyo style yao.

Kuanzia hapo sijaangalia tena.
usipofika chuo kikuu unakuwa na elimu ndogo kumbe??!!
 
Tafsiri yangu kwa mtu wa aina yako ni kwamba you have a Superiority Complex, ambayo kila wakati unataka kuijustify, unatumia nguvu sana kutaka utambulike kwamba uko juu ya wengine (wote ikiwezekana).

Huo ni mtazamo wangu, BTW nainjoi sana kuona unavyokuwa unatetea points zako kwa nguvu nyingi, halafu wakati mwingine inakuwa ni kwa kitu ambacho hata hakikuhitaji nguvu nyingi namna hiyo.
Kusrma kweli hakuna kitu kinachi scream superiority complex zaidi ya "i keep planets in orbit" i was like [emoji32] [emoji32] okaaay
 
Heeeee......nimemaliza kusoma debate za Kiranga, Nyani Ngabu na wengineo ........ nashukuru nimewaelewa kiasi (Maana kuna muda mnatumia English kongwe sana nakuwa sielewi)

Sasa ni hivi binafsi naona hii program ya mkasi ilianza vizuri kwa sababu mwanzoni ilihoji sana wasanii na kiukweli ilipendwa, ila sasa walipoanza kuhoji watu mashuhuri kama wanasiasa na wengineo ndipo tulipojua uwezo wao wa kufikiri (ni mdogo sana). Mpaka wanaishiwa maswali ya kuhoji, pia ukiangalia extended version kuna muda wanatumia lugha kali (matusi) ktk maongezi jambo ambalo sio zuri bora wasingeziachia mtandaoni.( Tofauti na hapo walijitahidi kuendesha kipindi chao-Big up kwao)

Kuhusu superiority complex ya mtu hapo nakataa ila najua kwamba mpk mtu anakuwa hivyo ni kwa sababu ni mfatiliaji na anakiamini alichoelewa (hivyo changamoto zinaruhusiwa) ,(halafu msipende wote kufanana mawazo). Tupende kujifunza pia kupitia kwa wengine.

Narudi kwenye Topic: Hawa jamaa (Muba na John) hakuna haja ya kuwawazia na kuwajadili sana....maana nao ni wanaume watatafuta tu namna ya kuishi mjini kama walivyoishi kabla ya mkasi.

Amani iwe nanyi.
 
Huyo muba anapenda recognition maskini kuna siku nlikua niko Kwa sele bonge kakaaa anapiga stori yani ukimpita yeye ndo anakushangaa sijui ili akamate ur attention umshangae af ujue huyu si flani!Jana posta tena naingia stationary namkuta anapiga stori na wadada wa pale akaacha akaanza kunikazia macho wala sikushtuka kama namrecognize.Nadhani anataka ukimuona ushangae kumuona staa.

sorry kwa sele bonge ndo wapi?
 
Wewe ni Kiranga bana. Mwenye vigezo vya juu na vya kipekee.

Nashangaa hata ulipoteza muda wako kuangalia kipindi cha 'barber shop talk'.

Hicho hakikuwa saizi yako. Wewe huna saizi yako. Labda kama saizi yako ni wewe mwenyewe.

Kwa nini usianzishe kipindi chako halafu ukawa unajialika mwenyewe na kujifanyia mahojiano mwenyewe na wakati mwingine hata kujifanyia mdahalo wako mwenyewe?

Nadhani kinaweza kuwa a ratings bonanza.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wewe ndio hujui unachoongea kwa taarifa yako mkasi tv walipata sponsors, hata kipindi chenyewe hakijaanza kurushwa yaani idea Ipo tu kwenye karatasi wadhamini wakatoa mpunga. Navofahamu Mimi Tz kuigana kwingi sana, mfano idea yote na content ya kipindi imeigwa na clouds ( zamaradi). That's why wamekuja na kipindi kipya ngaz kwa ngaz angalia ubunifu uliomo mle unajua mtu akifanya vizuri mpe hongera zake though mapungufu hayawez kukosena.
N kwel mkuu maana vipnd ving vya Clouds media wana copy na ku pest Eatv
 
Huyo muba anapenda recognition maskini kuna siku nlikua niko Kwa sele bonge kakaaa anapiga stori yani ukimpita yeye ndo anakushangaa sijui ili akamate ur attention umshangae af ujue huyu si flani!Jana posta tena naingia stationary namkuta anapiga stori na wadada wa pale akaacha akaanza kunikazia macho wala sikushtuka kama namrecognize.Nadhani anataka ukimuona ushangae kumuona staa.
labda alikunok we ujui tu..... Zar ilo mdada
 
Warudi kijijini kuchimba mihogo, alafu wanaonekana wananguvu kweli
 
Back
Top Bottom