Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Unaweza kutuwekea hiyo episode hapa?

Manake naona umeng'ang'ania hapo tu.

Tuwekee basi na sisi tuone/ ama tusikie ili tuweze kung'amua alisema hivyo katika muktadha upi.

Zaidi ya hapo, kama walivyoeleza wengine, sioni tatizo la Salama na maudhui ya kipindi chake.

Mkuu nimefuatilia huu uzi mwanzo mpaka hapa ulipofika,

Naomba nitoe assessment yangu kwamba umemgalagaza Kiranga, mzee wa ku-oppose kila motion,

Hata hivyo jamaa anakuwa na points nyingi sana zingine za kutaka kukutoa kwenye mstari (offensive language nyingi anatumia aka vijembe).
 
Sijaiona kabisa hoja yake.

Na kama ipo basi haina mashiko.

Kina Kim Kardashian wana kipindi chao kwenye runinga.

Hata siku moja sijawahi kukiangalia kwa sababu nakiona hakina maana yoyote kwangu.

Lakini naamini wapo ambao wanakipenda...iwe kwa entertainment value yake or otherwise.

Kuna reality tv shows nyingi tu ambazo nazo huwa sioni tija yake. Mfano The Real Housewives of Atlanta, Love and Hip Hop New York na kadhalika.

Hakika mtu kama mimi si mlengwa wa vipindi vya hivyo na ndo maana huwa sioni tija yake.

Maisha si siasa na sera tu. Hata masikhara nayo ni maisha na yana nafasi yake kwenye jamii.

Pata picha kusingekuwa na masikhara hapa duniani. Yangekuwa maisha gani hayo?

Kipindi cha Mkasi na hao waongozaji wake mimi sikuwahi kuona tatizo lao.

Ndo mazungumzo ya saluni hayo. Umbea umbea, utani, masikhara, na kadhalika.

Unataka mambo serious....mwangalie Tido Mhando huko....
 
Hahahaaaa....duh!

Wakati mwingine watu huwa mnajipa stress zisizo hata na ulazima.

You seem to be so uptight about picayune things.

But I get it. We can't all be the same. And the way you are is the way you are.

I embrace diversity.
Si habari ya stress. Ningekuwa na stress ningeandika barua kwa Nape Nnauye.

Sikufungua hata thread ya JF kuhusu hili. Nimechangia tu mawazo yangu kwa sababu mtu kaanzisha thread, na mtu akianzisha thread mimi kuchangia mawazo yangu katika kitu ninachojali ni wajibu.

Tumetoka katika utamaduni ambao mtoto wa shule kula mishikaki huku anatembea barabarani alisemwa vibaya kwa kukosa adabu (rejea mahojiano ya Bandio na rais mstaafu Mwinyi katika maadhimisho ya miaka 90 ya siku yake ya kuzaliwa, 2015 ona hapa), mpaka leo mtu kutukana kwenye TV linaonekana jambo la kawaida, na mtu anayeshangaa na kulaani kutukana huku kwenye TV ndiye anaonekana wa ajabu!
 
Got ya.

We are all entitled to our opinions.

And that settles it for me.
 
Tumetoka katika utamaduni ambao mtoto wa shule kula mishikaki huku anatembea barabarani alisemwa vibaya kwa kukosa adabu (rejea mahojiano ya Bandio na rais mstaafu Mwinyi katika maadhimisho ya miaka 90 ya siku yake ya kuzaliwa, 2015 ona hapa), mpaka leo mtu kutukana kwenye TV linaonekana jambo la kawaida, na mtu anayeshangaa na kulaani kutukana huku kwenye TV ndiye anaonekana wa ajabu!

Huu ndo mtazamo wangu kuhusu mambo ya utamaduni.

Utamaduni, kama yalivyo mambo mengine, nao hubadilika.

Kuna wakati wanawake waliokuwa wanavaa suruali walionekana kuwa ni wahuni. Sasa haiko hivyo tena. Suruali kwa wanawake ni moja ya mavazi ya kawaida kabisa.

Kuna wakati kunyoa panki [for my old timers] ilionekana ni jambo baya na la kihuni. Nenda shule Jumatatu huku umenyoa panki kama hukunyolewa upara mbele ya wanafunzi wenzio. Lakini siku hizi naona wanafunzi kibao wamenyoa viduku na wanaenda skonga kama kawaida.

Kuna wakati hata huko kwenye nchi zilizoendelea ushoga ulikuwa ni kosa kubwa mno. Sasa hivi ushoga umekuwa jambo la kawaida tu.

Hata mimi mwenyewe kuna kipindi mashoga walikuwa wananichefua kabisa lakini sasa hivi wala sina habari nao. Mtu awe shoga asiwe shoga, mimi hiyo hainihusu. Ni mambo yake nami najali yangu.

Kwa hiyo utamaduni, kama yalivyo mambo mengine, nao hubadilika.

Kwani wewe hakuna jambo au mtazamo ambao umebadilika kulingana na muda?
 
Mkuu nimefuatilia huu uzi mwanzo mpaka hapa ulipofika,

Naomba nitoe assessment yangu kwamba umemgalagaza Kiranga, mzee wa ku-oppose kila motion,

Hata hivyo jamaa anakuwa na points nyingi sana zingine za kutaka kukutoa kwenye mstari (offensive language nyingi anatumia aka vijembe).

I do not take accusations against me lightly. Lugha ya vijembe kutoka kwangu iko wapi katika thread hii?

Unaweza kunionesha?

Tatizo unaangalia nani kamgalagaza nani.

Wakati mimi naangalia jinsi jamii inavyomomonyoka mpaka watu wanakubali kitu kisicho na staha kuwa cha kawaida.

Ni Umarekani uliopaishwa na utandawazi.

Ajabu mimi ambaye ndiye natakiwa kutetea huo Umarekani, kwa sababu mimi ndiye nauelewa vizuri vizuri kuliko hao wanaouparamia, naijua mipaka yake kama mtu anaongelea kipindi cha TV Tanzania - as much as I am a freedom of speech freak, I recognize the importance of basic decorum.

Kuhusu kugalagaza hata Jimmy Carter aligalagazwa na Ronald Reagan kwenye presidential debate, lakini wasomi walijua Carter ndiye alikuwa na uwezo zaidi wa kuwa rais mzuri.

Kwa hiyo uki focus kwenye nani kamgalagaza nani tu nakuona wewe ni kati ya wale small minds wanaoangalia watu badala ya kuangalia ideas.

Mimi naangalia ideas.

But I am a glutton for punishment.

Watu wanatukana Bungeni Tanzania na hakuna cha ajabu sana watu wanachoona.

Seuze kwenye kipindi cha Mkasi?
 
Huu ndo mtazamo wangu kuhusu mambo ya utamaduni.

Utamaduni, kama yalivyo mambo mengine, nao hubadilika.

Kuna wakati wanawake waliokuwa wanavaa suruali walionekana kuwa ni wahuni. Sasa haiko hivyo tena. Suruali kwa wanawake ni moja ya mavazi ya kawaida kabisa.

Kuna wakati kunyoa panki [for my old timers] ilionekana ni jambo baya na la kihuni. Nenda shule Jumatatu huku umenyoa panki kama hukunyolewa upara mbele ya wanafunzi wenzio. Lakini siku hizi naona wanafunzi kibao wamenyoa viduku na wanaenda skonga kama kawaida.

Kuna wakati hata huko kwenye nchi zilizoendelea ushoga ulikuwa ni kosa kubwa mno. Sasa hivi ushoga umekuwa jambo la kawaida tu.

Hata mimi mwenyewe kuna kipindi mashoga walikuwa wananichefua kabisa lakini sasa hivi wala sina habari nao. Mtu awe shoga asiwe shoga, mimi hiyo hainihusu. Ni mambo yake nami najali yangu.

Kwa hiyo utamaduni, kama yalivyo mambo mengine, nao hubadilika.

Kwani wewe hakuna jambo au mtazamo ambao umebadilika kulingana na muda?

Kubadilika na mda ni ishara ya kutumia akili, lakini, kubadilika huku kuwe kutoka mabaya kwenda mazuri.

Huwezi kutoka kwenye utamaduni ambao watu walijiheshimu, ukaenda kwenye utamaduni ambao watu wanatukana tu, halafu ukafurahia kwamba umebadilika na muda.

I like to balance things delicately, as if on a scale.

F. Scott Fitzgerald said it best.

"The test of a first-rate intelligence is the ability to hold two opposing ideas in mind at the same time and still retain the ability to function."

While I remain a staunch liberal socially (and financially conservative, in principle at least), that is, I would normally side with freedom of expression and against censorship in a very laissez-faire way, I also recognize the importance of a basic sense of decorum and the necessity of some mitigating factors to ensure that feedom of expression is enjoyed in a non injurious way to the national psyche and the well being of our society.

As a result, I do not have a problem with the most debauching of shows, the "barely legal" ones and even the borderline legal on the other side of the law, if at all the airing of these shows is mitigated in a certain way (cable subscription with parental guidance warnings and means to limit access, time slotting etc)

I am afraid I do not see any of these being employed in the industry at home.

As a result, we are slowly descending into a decadent and debauching cultural despair that depicts cultural disrepair.
 
I do not take accusations against me lightly. Lugha ya vijembe kutoka kwangu iko wapi katika thread hii?

Unaweza kunionesha?

Tatizo unaangalia nani kamgalagaza nani.

Wakati mimi naangalia jinsi jamii inavyomomonyoka mpaka watu wanakubali kitu kisicho na staha kuwa cha kawaida.

Ni Umarekani uliopaishwa na utandawazi.

Ajabu mimi ambaye ndiye natakiwa kutetea huo Umarekani, kwa sababu mimi ndiye nauelewa vizuri vizuri kuliko hao wanaouparamia, naijua mipaka yake kama mtu anaongelea kipindi cha TV Tanzania - as much as I am a freedom of speech freak, I recognize the importance of basic decorum.

Kuhusu kugalagaza hata Jimmy Carter aligalagazwa na Ronald Reagan kwenye presidential debate, lakini wasomi walijua Carter ndiye alikuwa na uwezo zaidi wa kuwa rais mzuri.

Kwa hiyo uki focus kwenye nani kamgalagaza nani tu nakuona wewe ni kati ya wale small minds wanaoangalia watu badala ya kuangalia ideas.

Mimi naangalia ideas.

But I am a glutton for punishment.

Watu wanatukana Bungeni Tanzania na hakuna cha ajabu sana watu wanachoona.

Seuze kwenye kipindi cha Mkasi?

Unajua kusoma?

Ukiwa na low standards unaweza ku justify chochote.
Don't get me started with that, you will derail this byach.

I keep planets in orbit.

Tafsiri yangu kwa mtu wa aina yako ni kwamba you have a Superiority Complex, ambayo kila wakati unataka kuijustify, unatumia nguvu sana kutaka utambulike kwamba uko juu ya wengine (wote ikiwezekana).

Huo ni mtazamo wangu, BTW nainjoi sana kuona unavyokuwa unatetea points zako kwa nguvu nyingi, halafu wakati mwingine inakuwa ni kwa kitu ambacho hata hakikuhitaji nguvu nyingi namna hiyo.
 
Kama nina deal na mtu ambaye hajui kusoma kwa nini nisiwe na superiority complex?

Jadili justification yangu ya kuwa na superiority complex.

Pengine tunachohitaji ni watu wengi Zaidi wanaoona ujinga na kujiona wao wanajua Zaidi kuusema huo ujinga.

Anayejua ujinga asiposema huu ni ujinga asiyejua huu ni ujinga atajifunza vipi?

Wewe unapoona mimi kumuuliza mtu "unajua kusoma" natumia nguvu, unaona hivyo kwa sababu una mawazo legelege.

Hujazoea mijadala ya watu wasiorembesha maneno.

Hatuhitaji kurembesha maneno. Tunahitaji kuambiana ukweli.

Hili ni moja ya matatizo yanayotufanya Watanzania tuwe masikini. Hatutaki brutal honesty.

Mtu kaandika kitu kama hajui kusoma.

Nikimuuliza "unajua kusoma?" unaniambiaje natumia nguvu?

Nimemuachia mtu nafasi ya kujitetea anieleze kwa nini mimi nifikiri anajua kusoma, pengine nilivyomuelewa mimi si sawa.

Mtu anayeuliza swali kama hili utasemaje anatumia nguvu?

Inaonekana kama wewe unatumia nguvu kunionesha mimi natumia nguvu.

Debate me on the merit of my position, not because I insult your petty sensitivity.
 
Nilichoandika juu ya wewe kuwa na Superiority Complex ni mtazamo wangu, na huwezi kuubadilisha.

Sijawahi kukuona ukijadili mada kwa mtazamo chanya, mara zote uko upande pinzani, labda huwa ukiona iko positive na mawazo yako unaona huna cha kuchangia.
 
Kama nina deal na mtu ambaye hajui kusoma kwa nini nisiwe na superiority complex?

Jadili justification yangu ya kuwa na superiority complex.

Pengine tunachohitaji ni watu wengi Zaidi wanaoona ujinga na kujiona wao wanajua Zaidi kuusema huo ujinga.

Anayejua ujinga asiposema huu ni ujinga asiyejua huu ni ujinga atajifunza vipi?

Wewe unapoona mimi kumuuliza mtu "unajua kusoma" natumia nguvu, unaona hivyo kwa sababu una mawazo legelege.

Hujazoea mijadala ya watu wasiorembesha maneno.

Hatuhitaji kurembesha maneno. Tunahitaji kuambiana ukweli.

Hili ni moja ya matatizo yanayotufanya Watanzania tuwe masikini. Hatutaki brutal honesty.

Mtu kaandika kitu kama hajui kusoma.

Nikimuuliza "unajua kusoma?" unaniambiaje natumia nguvu?

Nimemuachia mtu nafasi ya kujitetea anieleze kwa nini mimi nifikiri anajua kusoma, pengine nilivyomuelewa mimi si sawa.

Mtu anayeuliza swali kama hili utasemaje anatumia nguvu?

Inaonekana kama wewe unatumia nguvu kunionesha mimi natumia nguvu.

Debate me on the merit of my position, not because I insult your petty sensitivity.

Nimefuatilia huu mjadala naklubaliana kabisa kuwa kuna vipindi vingi vya tv vilipaswa kukemewa
na kujadiliwa kwa kina.......

Zipo nchi nyingi tu ambazo music videos haziko kwenye free tv...
sisi kila kitu ni free kwenye media only now ndo haturuhusiwi kumpinga Magufuli
lakini matusi,vipindi vyenye adult contents vinaoneshwa hata mchana kweupe...

bado tuko nyuma sana kama nchi

ndo maana kila Rais anakuja na yake na kila waziri na yake
hata kama yanapingana na sheria...
 
Tafsiri yangu kwa mtu wa aina yako ni kwamba you have a Superiority Complex, ambayo kila wakati unataka kuijustify, unatumia nguvu sana kutaka utambulike kwamba uko juu ya wengine (wote ikiwezekana).

Huo ni mtazamo wangu, BTW nainjoi sana kuona unavyokuwa unatetea points zako kwa nguvu nyingi, halafu wakati mwingine inakuwa ni kwa kitu ambacho hata hakikuhitaji nguvu nyingi namna hiyo.

Mkuu tu assume kweli Kiranga ana 'superiority complex'
je wewe utampinga kitu unachoona kina make sense kwa kuwa ni Kiranga?

hutakubali kuunga mkono hoja yake hata kama ni kitu unakikubali simply sababu mtoa hoja
'anajifanya anajua sana'?
 
Ni kweli unachosema mkuu.

Huo mtazamo wangu umekuja baada ya kuona michango yake kwa kipindi kirefu sana ni ya mrengo mmoja tu.
 
Kama kiranga akikubali kupokea hoja za upande wa pili mjadala unaweza kuwa wenye manufaa sana.

Mtu kuamini kile anachoamini ni jambo zuri sana lakini pia ruhusu hoja kadhaa za upande usiouamini kama changamoto uone kama zinaweza kukujenga kwa namna moja ama nyingine
 
Nimefuatilia huu mjadala naklubaliana kabisa kuwa kuna vipindi vingi vya tv vilipaswa kukemewa
na kujadiliwa kwa kina.......

Zipo nchi nyingi tu ambazo music videos haziko kwenye free tv...
sisi kila kitu ni free kwenye media only now ndo haturuhusiwi kumpinga Magufuli
lakini matusi,vipindi vyenye adult contents vinaoneshwa hata mchana kweupe...

bado tuko nyuma sana kama nchi

ndo maana kila Rais anakuja na yake na kila waziri na yake
hata kama yanapingana na sheria...
Mkasi nacho ni cha kukemewa na kujadiliwa kwa kina?
 
Kama kiranga akikubali kupokea hoja za upande wa pili mjadala unaweza kuwa wenye manufaa sana.

Mtu kuamini kile anachoamini ni jambo zuri sana lakini pia ruhusu hoja kadhaa za upande usiouamini kama changamoto uone kama zinaweza kukujenga kwa namna moja ama nyingine

Copied this somewhere!

A superiority complex is a psychological disorder in which the affected individual experiences an exaggerated feeling of self-importance. He or she feels superior to other people and displays a general disregard for the thoughts of others. Individuals with a superiority complex often exhibit a sense of grandiosity. They typically maintain a feeling that they are better or more important than other people, and often fail to take the opinions or desires of others seriously. This disorder may also be referred to as narcissism or megalomania.

Traits of someone with a superiority complex include haughtiness, a lack of empathy, and a tendency to brag. They exhibit an intense reaction to anything that is perceived as an insult. Someone with a superiority complex despise anyone who does not display admiration. The individual often claims to be an expert in a number of areas and pretends to be more than he or she is.
 
Mkasi nacho ni cha kukemewa na kujadiliwa kwa kina?

Ngabu kuna vitu sio lazima viandikwe kwenye sheria
Mkasi kwa sababu ya umaarufu wake na kuwa kipindi kinachotazamwa na watu wengi
kujadiliwa 'hakuepukikwi' na ndo maana hapa tuko tunajadili

Sasa yaweza kuwa hakuna walichokosea lakini watu ku demand the best na ku demand quality
haita epukika.....

Binafsi naona kama walitaka kuwa kipindi cha 'masikhara' basi wangekuwa wana interview wasanii zaidi
huwezi kum interview mbunge wa Africa mashariki au waziri...halafu 'useme tu' 'hiki kipindi cha masikhara'
watu mbalimbali watakuwa na expectations zao.....kulingana na watu husika wanao hojiwa

Halafu hivi wapi walisema kipindi chao ni cha 'masikhara'?
 
Back
Top Bottom