Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

Jaman program ze2 ni priority pia atujakosea chochote kwanin wasi2pe mkopo wame2mia vigezo gan hasa mwaka hu..
 
Jaman program ze2 ni priority pia atujakosea chochote kwanin wasi2pe mkopo wame2mia vigezo gan hasa mwaka hu..

Utaijuaje coure kama ni priority kwa vyuo ambavyo hawatumii central admission system(cas)?
 

Kaka mi najua unajipa moyo ila wale jamaa hasa kwa kipindi kama hiki watakupa majibu yatakayokufanya utake kupiga mtu na sio kama unavodhani
 
et mi 1st year mfamasia muhas afu mkopo hata sent sjapewa dah majanga haya

baba genovivah .pole ila usife moyo kaza buti mambo yatasonga, hope we will b together muhas b pharm. ila wale walinzi bodi wanazingua kichizi ikiwezekana ukifika pale uwadanganye kuwa mkopo umeenda kwingine la sivyo watawabania
 
Poleni sana maskini wenzangu kwa kukosa mkopo ila mimi nimepata
 
waulize ni nini tofauti kati ya did not secured pamoja na did not acquired kama yalivotumika katika utoaji wa majibu ya mkopo.

Nionavyo hapa kati ya haya makundi mawili. Kundi moja linastahili kupata mkopo{Wenye Priority Programmes} ila kuna viambatanisho hawakuweka au kosa lolote kwenye ujazaji wa fomu. Hivyo wakirekebisha hayo makosa watapata. Kundi lingine hili litakua ni kundi ambalo limekosa kabisa huo mkopo! Info zaidi tutazipata kesho! Alamsiki
 

mdau ukienda usisite kutuulizia sisi wa diploma why tumenyimwa mkopo,ka vp tupia no yako ntakuibukia hewani kesho
 
Ka tindikali zip beben coz ni Upuuz wa2 2nahaso toka primary
Afu leo not secure let's demand our demands mkopo n haki ye2 hata education wana2nyima aaahhh!!?
 
nikizungumza kwa uchungu najiuliza sana hivi hawa wapo kwajili ya wanafunzzi au maslahi yao binafsi ,bodi ya mikopo hivi wanajali ndoto za wanafunzi, hivi kweli ni nini kinaendelea, unakuta aliesoma serikalini au shule za wazai na bei ndogondogo kakosa ila aliesoma shule za milioni kibao kapata ,pia unakuta mwenye division mbaya kapata mwenye nzuri kakosa , sio siri inauma, bodi yenyewe ya mikopo kazi sioni inafanyika kama nlivyotegemea hamna walichobadilisha zaidi tu ya mishahara yao binafsi kama una lolote zungumza
 
jaman mapema nitakuwa HESLB kwa kla aina na mbinu n lazima nichonge nao nitahakkxha napata majb ya kna il wale walio mbali na Dar wapate kujua nn cha kufanya check me 0759824023 o 0717439726 for more information
 
Ha2wez jua pengine hawa wa maisha bora ndo wanauhakika wa kurudisha mkopo haraka kuliko akina kayumba sie. Inakera sana familia hata hela ya nauli ni tatizo je usajili tutaweza? Tumuachie mungu ana makusudi yake kwa hili pengine riziki yetu haikuwa katika elimu.
 
Tanzania nchi ya ajabu sana, ubabaishaji ni kwenye kila kitu mpaka hata kwenye elimu!
 

acha ukiazi kijana kwaio wewe unataka wasio kua na division nzuri wakose mikopo na wakati nao ni wahitaji vile vile we umepiga division kali ndio maana upo udsm,mzumbe na muhas na yeye kapiga ya kawaida ndo mana yupo ifm,tia,iaa hio ndo tofauti ya division kwa suala la loan tunakuwa sawa. Kwa hilo la school upo sahihi kabisa unakuta mtu amepiga feza tangu primary hadi six afu amekula mkopo wa maana hio ni haki kweli?
 

Mmmhh. May be
 
karibia kila mwaka wana vimsamiati vipya vya kuwanyima watu mkopo wa elimu ya juu yaani inakera sana!! km kuna mdau anayejua fungu lililotengwa kwa ajili ya mkopo na idadi ya waliopata mkopo atumwagie tujue zmeliwa shi ngapi!!!
 
Vp kama Ukiomba Upya mwakani... Yaani kubadilisha Course na kuomba tenha Kuna Uwezekano wa kupata Kweli.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…