Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Wambie kuwa wote walioaplai ni waitaji,hivyo wawape.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman program ze2 ni priority pia atujakosea chochote kwanin wasi2pe mkopo wame2mia vigezo gan hasa mwaka hu..
hivi kwel HESLB wanaweza kuzima watu wote hao waliokosa mkopo maana wengi tu CHUO kwa mwaka huu itakuwa basi kwan ile idadi waliyosema wanatatoa mkopo 35679 leo hii imekuaje wameshindwa kufka huko nna IMANI watafanya mageuzi na vijana WENGI wengine watapewa MIKOPO majibu zaidi ni HAPO kesho mguu kwa mguu hadi HESLB watoe majb ya kna y faculty ni priority alaf MTU anakosa KAMA utakuwa ujapata jb nitaleta majb hapa hapa ponde tu nitakapopata haya majib kutoka HESLB kama una swali uliza kesho ltawekwa pale HESLB nitaleta majibu maana hii sio kawaida kukosa kiasi hiki,,2pia chochote ktafka HESLB bye
et mi 1st year mfamasia muhas afu mkopo hata sent sjapewa dah majanga haya
waulize ni nini tofauti kati ya did not secured pamoja na did not acquired kama yalivotumika katika utoaji wa majibu ya mkopo.
hivi kwel heslb wanaweza kuzima watu wote hao waliokosa mkopo maana wengi tu chuo kwa mwaka huu itakuwa basi kwan ile idadi waliyosema wanatatoa mkopo 35679 leo hii imekuaje wameshindwa kufka huko nna imani watafanya mageuzi na vijana wengi wengine watapewa mikopo majibu zaidi ni hapo kesho mguu kwa mguu hadi heslb watoe majb ya kna y faculty ni priority alaf mtu anakosa kama utakuwa ujapata jb nitaleta majb hapa hapa ponde tu nitakapopata haya majib kutoka heslb kama una swali uliza kesho ltawekwa pale heslb nitaleta majibu maana hii sio kawaida kukosa kiasi hiki,,2pia chochote ktafka heslb bye
nikizungumza kwa uchungu najiuliza sana hivi hawa wapo kwajili ya wanafunzzi au maslahi yao binafsi ,bodi ya mikopo hivi wanajali ndoto za wanafunzi, hivi kweli ni nini kinaendelea, unakuta aliesoma serikalini au shule za wazai na bei ndogondogo kakosa ila aliesoma shule za milioni kibao kapata ,pia unakuta mwenye division mbaya kapata mwenye nzuri kakosa , sio siri inauma, bodi yenyewe ya mikopo kazi sioni inafanyika kama nlivyotegemea hamna walichobadilisha zaidi tu ya mishahara yao binafsi kama una lolote zungumza
Nionavyo hapa kati ya haya makundi mawili. Kundi moja linastahili kupata mkopo{Wenye Priority Programmes} ila kuna viambatanisho hawakuweka au kosa lolote kwenye ujazaji wa fomu. Hivyo wakirekebisha hayo makosa watapata. Kundi lingine hili litakua ni kundi ambalo limekosa kabisa huo mkopo! Info zaidi tutazipata kesho! Alamsiki
et mi 1st year mfamasia muhas afu mkopo hata sent sjapewa dah majanga haya
Kamvp ulizia pia kama kuna second batch na if yes ni lini zitatoka