kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Diamond hii nyimbo ni yake hata hiyo version mnayosema ni original instrumental yake katengeneza laizer 😂😂 kwo WCB wamefanya yaoOriginal wimbo ulikuwa unaitwa I love you diamond alishirikishwa na huyo msanii wa Namibia na wimbo ulitoka uko YouTube miezi 2 iliyopita
Alichofanya Diamond Ni kufuta verse ya huyo msanii na kuweka mashairi yake na kuimba wimbo mzima peke yake na kutoa Leo asubuhi Kama wimbo wake rasmi.
Apo unaona mashabiki wa Namibia wamemaindi
Instrumental ya kwanza unajua nani alitengeneza?Mi hata sishangai coz ndo kawaida ya mondi kufanya hivo, sasa nn kipya??
Bashite kyuma tu.. Anawatisha wakuja wenzake. .. Omarion alimuambia Who the **** you think you are?wanajua kwamba daudi bashite ni mkuu wake?wanawajua TISS makirikiri walioko chini ya BASHITE?SHAURI ZENU NAMIBIA,WATU WASIOJULIKANA
Aibu..
HahaDiamond hana pumzi ya mashairi kwa sasa. Sana sana labda aimbe matusi.
Nadhani haja renew contract ya fuvu la kichwa!