Nini hii inafanywa...Wanamibia wacharuka

Nini hii inafanywa...Wanamibia wacharuka

Mi hata sishangai coz ndo kawaida ya mondi kufanya hivo, sasa nn kipya??
 
Original wimbo ulikuwa unaitwa I love you diamond alishirikishwa na huyo msanii wa Namibia na wimbo ulitoka uko YouTube miezi 2 iliyopita
Alichofanya Diamond Ni kufuta verse ya huyo msanii na kuweka mashairi yake na kuimba wimbo mzima peke yake na kutoa Leo asubuhi Kama wimbo wake rasmi.
Apo unaona mashabiki wa Namibia wamemaindi
Diamond hii nyimbo ni yake hata hiyo version mnayosema ni original instrumental yake katengeneza laizer 😂😂 kwo WCB wamefanya yao
Hii instrumental ya sasa imeongezewa uzito zaidi wamepiga mpaka saxophone
 
wanajua kwamba daudi bashite ni mkuu wake?wanawajua TISS makirikiri walioko chini ya BASHITE?SHAURI ZENU NAMIBIA,WATU WASIOJULIKANA
Bashite kyuma tu.. Anawatisha wakuja wenzake. .. Omarion alimuambia Who the **** you think you are?
 
Kaamua kumdondoshea zari jumba bovu apotezee hili la kuiba song ya watu fala kweli namsubiria hapa hapa jf haiongopi miaka haichelewi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa aliwahi piga mkwara Hadi gavana a Ghana sjui huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom