Ndo maana mimi nawaita Nyumbu maana Nyumbu huwa hana akiliReference yako ndo umetumia Jambo TV mkuu na watu wanakusapoti kabisa 😅😅
JF Home of dishi thinker
Kenani aje na takwimu zake.Subiri takwimu za msemaji wa chama hzo za kwako ni AI
Kumbe unamjuaHuyo Habil na Kabil naye mwehu tu
Eti maandamano mfululizo yasiyo na kikomo halafu yeye yupo Ulaya anakenua tu
Ningekuwa sijaona anachoongea nisingejua wehu wakeKumbe unamjua
Na unamfatilia
Na unaendelea kumfatilia?
Hapo mwehu nani
Yeye hata hakujui
Peleka hasira sehem inayostahili
Kwenye website ya Chama cha Mapinduzi watazamaji live walikuwa 76Hii Ni aibu Huyu akifikisha kweli hata kula million 1?
Hii Ni fedhea kwa Taifa
View attachment 3501902