o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Nipo na haraka sana. Hebu ona. Leo ni ile tarehe 17/1/2024 kila mtanzania mpenda michezo alikuwa anasubiria ifike saa mbili kamili ili apate fursa kuitazama timu yetu pendwa, Taifa Stars akicheza dhidi ya Morroco.
Natazama first eleven nakutana na kitu cha ajabu. Unawaazisha wachezaji ambao hawachezi ligi za kimashindano. Haya mambo ya kutokuwa siriaz na kila kitu yataisha lini?
TFF na Azam wamefanya maboresho kwenye ligi, udhamini, ligi yetu imekuwa kubwa licha ya kuwa na wachezaji wengi wa kigeni, lakini tunawazawa ambao ni mahiri kuliko baadhi ya hao walionza.
Unacheza na Morroco ambayo imeweka fulu mkoko, wewe unaweka timu ya majaibisho.
Babu kaju yupo, Mzamiru yupo, huyo Mkami wa nini uwanjani?
Kilichomfanya front 3 ya Samatta, msuva na kibu isiianze ni nini?
Haya tufungwe tusubiri, Congo na Zambia labda hao tutataniana nao!
Nawasilisha.