Nini hufanya thamani ye fedha ishuke au kupanda

Nini hufanya thamani ye fedha ishuke au kupanda

mfano poa. lakini na shaka kuna pesa ya arab ya oman na Kuwait ziko juu zaid ya $ nazinafanya poa. bado chumi zao ndogo ukilinganisaa na u s a
na hata wachina wa hindi. lakini pesa kama kuwait demand sio kubwa kama dola hem niweke sawa hapa mkuu?

Zitakuwa juu ki Unit tu lakini kwenye real value bado Dollar ipo juu.

Ni sawa na Tanzania leo tuamue tukate sufuri 3 inamaana sh 1000 itakuwa sh 1 hii haimaanishi kwamba thamani ya Tshs imekuwa dhidi ya dollar.

Ukitaka kufahamu kuhusu real exchange rate inabidi uangalie factors kama inflation na interest rate pia tazama BIG MAC Index.
 
  1. Low demand ya currency yetu
  2. Tuna emport zaidi ya kuexport (hivyo kuzifanya dola na currency nyinginezo kuwa active zaidi sokoni)
  3. GDP yetu kutawaliwa na foreign investors zaidi (mwisho wa siku Low GNP)
NK
 
Vilevile ufisadi unachangia sana, watu wanaingiza pesa chafu kwenye mzunguko na kukuza bei za vitu in the market artificially ili mradi yeye yake kaipata anavyojua yeye. Kodi hazilipwi ipasavyo inaongeza mzigo wa serikali hivyo kukopa kwenye mataasisi.
Nchi kama China wanalalamikiwa sana na wamarekani kuwa wanashusha thamani ya pesa yao kiujanja, wao wanatumia njia hii ili ku encourage watu waweze kununua products kwao kwani uwezo wa wa kuzalisha wanao ( economy of scale)
 
Back
Top Bottom