Vilevile ufisadi unachangia sana, watu wanaingiza pesa chafu kwenye mzunguko na kukuza bei za vitu in the market artificially ili mradi yeye yake kaipata anavyojua yeye. Kodi hazilipwi ipasavyo inaongeza mzigo wa serikali hivyo kukopa kwenye mataasisi.
Nchi kama China wanalalamikiwa sana na wamarekani kuwa wanashusha thamani ya pesa yao kiujanja, wao wanatumia njia hii ili ku encourage watu waweze kununua products kwao kwani uwezo wa wa kuzalisha wanao ( economy of scale)