Nini humuimu wamabalachichi kwenye mfumo wauzaizi kwa wakina baba.

Nini humuimu wamabalachichi kwenye mfumo wauzaizi kwa wakina baba.

angeenda jukwaa la lugha kwanza akajifunze kiswahili ndio arudi na mada yake
 
Kwani mabalachichi ni ninki?hebu tufafanulie ikiwezekana weka picha ya hayo mabalachichi
 
Barachichi!!! Labda ni lugha mama ametumia, lakini hata hivyo bado ni makosa siyo watu wote wanajua lugha mama!ushauri wangu kwa huyu kijana ni,kwanza akubali kukosolewa asiwe mbishi,pili atulie humu humu apate elimu asiende facebook atapotea zaidi! Asante
 
Naitajikua Jamani Msaada Wenu Plz.
Unajuwa wewe dogo ni pumbavu hafadhari hata ya Pinda, nilitegemea nikukute jukwaa la Elimu unaulizia bookshop nzuri na yenye vitabu vya bei nafuu iko wapi, au Libraly bora kabisa iko wapi, lakini wewe unauliza nguvu za kiume!!

Ok twende kama unavyotaka, nguvu za Kiume ni pesa, lakini kama unataka zile ambazo zimeujaza uijnga ubongo wako, hapa JF kuna msanii anaitwa MziziMkavu anasubili wajinga kama wewe, au nenda Geita kuna Doctor ambaye hajapita chuo chochote anaitwa Ndodi, anatoa hizo dawa za nguvu za kiume bure kabisa bila malipo, ila utapaswa kulipa kiingilio kidogo tu cha shilling 50,000/= na utapatiwa na kitabu bure ili na wewe uwe Dr kama yeye.

View attachment 99699
 
Last edited by a moderator:
Uchafu mchafu kuliko uchafu wote wa ulimwengu....idiot!

Wwwe[wewe] unajikuta[?] kama unajua kila kitu unajifanya kama ujaelewa[hujaelewa] kilichoandikwa basi powa[poa] kama unaona ujaelewa[hujaelewa] kilichoandikwa ucngechangia[usingechangia] maada[mada].Powa[poa] mwalimu walugha[wa lugha]

Pumbavu wewe, ndio maana mnapata sifuri halafu wale wenzenu wenye akili kama zenu wanaanza kubadili alama zenu. Hakuna mada hapa, ni upumbavu tu umeandika. Ungekuwa hapa karibu yangu ningekucharaza mikwaju mpaka ikukolee kesho usingeamka kuja kuandika uchafu hapa

Hasira..hasira..hasira..hasira..hasira..hasira.....
Tuliza moyo ndugu yangu,inavyoelekea unaweza ukasahau hata kula wewe.
 
Tanzania ina mataahira wengi kuliko inavyofikiriwa. Haya ni mazoea ya kutamka na kuandika vitu bila umakini. Mtu huanza tabia hii kidogo kidogo na baadaye huzoea huu ujinga.

Parachihi sio palachichi. Halafu huo mfumo wa nguvu za kiume unaongezwa upana au urefu?

Nayachukia sana haya magazeti ya Shigongo mnayosoma mchana kutwa. Msamiati wenu haukui sbb mambo ya kipumbavu ndio mnayoyapa kipaumbele

Hapo kwenye RED sijaelewa mkuu!
 
Unajifanya unajuuuuaaaa! Kurekebisha watu! Kumbe nawewe hujui kitu! Unaleta mbwembwe tu! Xa hlo neno kwa rangi nyekundu! Ndo sahihi! Duuh! Majangaaaa!
 
Unajuwa wewe dogo ni pumbavu hafadhari hata ya Pinda, nilitegemea nikukute jukwaa la Elimu unaulizia bookshop nzuri na yenye vitabu vya bei nafuu iko wapi, au Libraly bora kabisa iko wapi, lakini wewe unauliza nguvu za kiume!!

Ok twende kama unavyotaka, nguvu za Kiume ni pesa, lakini kama unataka zile ambazo zimeujaza uijnga ubongo wako, hapa JF kuna msanii anaitwa MziziMkavu anasubili wajinga kama wewe, au nenda Geita kuna Doctor ambaye hajapita chuo chochote anaitwa Ndodi, anatoa hizo dawa za nguvu za kiume bure kabisa bila malipo, ila utapaswa kulipa kiingilio kidogo tu cha shilling 50,000/= na utapatiwa na kitabu bure ili na wewe uwe Dr kama yeye.

View attachment 99699
Mkuu Matola Mimi sio Msanii jaribu kujiheshimu sio kuleta maneno yako ya Pumba. Unazungumza kama uliye lewa Gongo nini? Unalewa wewe wakati wa usiku?Ninakuheshimu na wewe jaribu kuwa na heshima unapozungumza tafhali sana tusije kuvunjiana heshima ninakuomba ujiheshimu sana.
 
Last edited by a moderator:
Mh! Okey! Guys! Bhasy msameheane! Jus a matter of understanding! Plz! Make t real! Camoon!
 
Back
Top Bottom