FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sisi hatuwezi kujua uhakika wa mambo, maana tunapewa hizi hadithi kupitia movies za mabeberuAfu mbn jamaa anaonkn alikua mzalendo wa kweli ..mi naon km hil la kuwa gaidi alipandikizwa Iv
Nimeitazama yote, kwa kweli this is true art😂😂😂 Au nasema 'wongo' ndugu zanguni
Wasanii tu hao,Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha
Hata Magufuli alikuwa mzalendo kama Hitler ila majambazi ya Ccm yakakatisha uhai wake.Afu mbn jamaa anaonkn alikua mzalendo wa kweli ..mi naon km hil la kuwa gaidi alipandikizwa Iv
Kama Kitwanga sio 😂😂kuna baadhi wanagonga toti 1/2/3 ya k-vant au don etc kisha wanapanda jukwaani kuongea
hata kule mjengoni kuna baadhi huwa wanafanya ivooo ili waongeapoo waoneshe wana hisia kali kumbe ulabuu
Sasa ungefahamu hiyo story waliyo immitate ungecheka mpaka ufe..maana hizo sauti walizo ingiza 'Dubbing' ni pumba tupu ..inachekesha balaa!Nimeitazama yote, kwa kweli this is true art
DiktektaAfu mbn jamaa anaonkn alikua mzalendo wa kweli ..mi naon km hil la kuwa gaidi alipandikizwa Iv
Huyu Jamaa alikuwa mtu poa ila ushenzi aliofanyia wayahudi uliondoa uzuri wake wote pamoja na tabia yake ya kupiga na kuteka nchi dhirani.angetulia a kujenga nGermany angekuwa mtu poa tu.hata hotua zake ungeta zinatafsiriwa na kusomwa.Sisi hatuwezi kujua uhakika wa mambo, maana tunapewa hizi hadithi kupitia movies za mabeberu
Just like the nigger who used the propaganda of uzalendo na wanyonge. He is such a hooligan.Hitler Alikua propagandist mzuri sana, unafikiri aliwezaje kupandikiza chuki kwa watu hadi majirani wakachukiana!!! Alikua na wizara ya propaganda kabisa.