Inaonekana kuna tube ilikuwa inapitisha mafuta ya brake kama sio maji kwenye chamber ya combustion mafuta ya petrol yakawa yanachomwa yakiwa yamechanganyika na mafuta ya brake/maji, sijajua ni nn kilisababisha hilo.
Kakitu fulani ka kijinga sana kaligharimu pesa nyingi almost 3m ila kalipogundulika ni Ile tube tu ikadhibitiwa tatizo likaisha.