Nini husababisha harufu mbaya ya Uke kudumu kwa muda mrefu kwa mwanaume aliyelala nae?

Nini husababisha harufu mbaya ya Uke kudumu kwa muda mrefu kwa mwanaume aliyelala nae?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ..... acha hizo bhana yule nilimaliza nae miaka ile ile nilipokuwa nawe NSTI mwaka 2009.
Okey sawa mkuu! Nikazani bado uka naye!! Salama lakini?? Nipo likizo kwata limenichosha! Now nimehamia makao makuu
 
Okey sawa mkuu! Nikazani bado uka naye!! Salama lakini?? Nipo likizo kwata limenichosha! Now nimehamia makao makuu

Yap hongera sana kwa kuwa likizoni Mkuu na ndiyo najua kwamba nyote mmehamia sasa huko Makao Makuu kwani kuna ' Madogo ' kibao wa hapo Makao Kwenu niliwaona ' wakitiririka ' kwenda huko. Vipi ' Jamaa ' yetu wa ' Mlalakuwa ' kutoka pande za Kagera na Yeye ' hamjaserereka ' nae huko Makao?

Hongereni sana kwani huko Makao Makuu ' mtazibandua ' Mbunye hadi ziote katika ' Miili ' yenu. Ila kumbukeni tu AIDS KILLS na bado nchi inawahitaji na tunawategemeeni sana kutulindia mipaka yetu hivyo hatutaki ' Mfe ' kifalafala kwa kuugua ' Dally Kimoko '.
 
Wanyonya K waliotukuka hao,kwa upande mwingine uzi unahusu usafi kwa wote...tuwe wasafi jamani.
 
Yap hongera sana kwa kuwa likizoni Mkuu na ndiyo najua kwamba nyote mmehamia sasa huko Makao Makuu kwani kuna ' Madogo ' kibao wa hapo Makao Kwenu niliwaona ' wakitiririka ' kwenda huko. Vipi ' Jamaa ' yetu wa ' Mlalakuwa ' kutoka pande za Kagera na Yeye ' hamjaserereka ' nae huko Makao?

Hongereni sana kwani huko Makao Makuu ' mtazibandua ' Mbunye hadi ziote katika ' Miili ' yenu. Ila kumbukeni tu AIDS KILLS na bado nchi inawahitaji na tunawategemeeni sana kutulindia mipaka yetu hivyo hatutaki ' Mfe ' kifalafala kwa kuugua ' Dally Kimoko '.
Yule jamaa anafunga ndoa mwezi huu,so baada yafungate atakuja makao makuu! Ndomu zipo so hatuwezi kuuza match kama wewe ulivyokua unafanya chuo! Hv wanao wa sweya na malimbe unawapa huduma kweli??
 
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata angekuwa ' anashiriki ' Miss Tanzania kila mwaka angeibuka tu Yeye Mshindi ila nilichokuja kukikuta Kwake ni ' harufu ' moja ' mbaya ' iliyokuwa inatoka kuna Ukeni / Mbunyeni Kwake ambayo hadi hivi sasa ' naserereka ' kuandika huu ' uzi ' Kwenu hii harufu ninayo na haitaki kunitoka mwilini Kwangu.

Nikipata msaada wenu wa majibu ya nini husababisha hiyo ' harufu ' kali na tiba yake ni nini nitawashukuruni sana Madaktari mliopo humu kwani najijua mwenyewe nilivyo na ' bahati ' ya kukutana na Wanawake ' wanukao ' Mbunye / Uke hivyo ufafanuzi wenu utanisaidia pindi nikikutana na mwingine.

Haiwezekani Mtu nimelala / nimebanduana nae sasa takribani wiki mbili zimepita na natumia kila aina ya Sabuni na hata ' udi ' najifukiza tu lakini kile ' kiharufu ' kibaya na cha ' karaha ' cha Mbunye / Uke bado tu kinaniandama. Kinanikosesha sana amani!

Nawasilisha.
demu wa harmonize ulikuwa unamuambia nini...?
 
Tuwaheshimu wanawake jamani, hao ni mama zetu, dada zetu, wapenzi wetu na mapumziko yetu, with due respect, mwambie politely, nendeni wote hospitali au veterinary (hospitali ya wanyama) mkatibiwe mmekwisha ambukizana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti hospitali ya wanyama
 
Mmmmmh mbona hata nikiwa ' usingizini ' kabisa hii harufu kuna wakati huwa naisikia au naiota? au labda Yule Demu alikuwa ni Jini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Gentamycin acha bhaa, sasa harufu unaiotaje?
 
Kuna mawili hyo harufu inaweza ikaisha baada ya muda kupita na pindi utapoacha kuiwazia na kujinusa nusa kila wakat au isiishe ukawa umeambukizwa nayo pia. Ila kapime na magonjwa ya zinaa, ksha uache uzinzi
 
Yule jamaa anafunga ndoa mwezi huu,so baada yafungate atakuja makao makuu! Ndomu zipo so hatuwezi kuuza match kama wewe ulivyokua unafanya chuo! Hv wanao wa sweya na malimbe unawapa huduma kweli??

Ndoa njema Kwake, mechi kweli hadi leo nauza Mkuu nisikufiche na Watoto wa Sweya na Malimbe tunasaidiana na ' Wananzengo ' kuwalea.
 
week mbili bado harufu unaisikia aisee pole sana
 
Tuwaheshimu wanawake jamani, hao ni mama zetu, dada zetu, wapenzi wetu na mapumziko yetu, with due respect, mwambie politely, nendeni wote hospitali au veterinary (hospitali ya wanyama) mkatibiwe mmekwisha ambukizana.
hahahhh
 
Back
Top Bottom