Ni maumbile tu hakuna tatizo kuna rafiki yangu yeye ni mwanamke nakumbuka wakati tuko shule mwalimu alimpa adhabu akamwambia amepaka hina alilia na kujitetea kuwa kucha zake ndio zilivyo. mwisho mwalimu akampa kama miezi mitatu akawa anazikagua akifikiri kutakuwa na mabadiliko, lakini zileiendelea kuwa hivyohivyo.