Jamani kwa anejua anijuze kuna baadhi ya wanaume kucha zao zinakuwa kama vile zimepakwa hina
yaani unakuta nusu ya ukucha inakuwa na ile rangi ya kahawia,hii husababishwa na nini ?
naomba kuwasirisha.
Mi ninadhani inatokana na kuvaa viatu kwa muda mrefu, kwani hata mimi hiyo hali ninayo kwa kucha za miguuni unless uniambie kama ni za mikononi hapo sijui!
Ni maumbile tu hakuna tatizo kuna rafiki yangu yeye ni mwanamke nakumbuka wakati tuko shule mwalimu alimpa adhabu akamwambia amepaka hina alilia na kujitetea kuwa kucha zake ndio zilivyo. mwisho mwalimu akampa kama miezi mitatu akawa anazikagua akifikiri kutakuwa na mabadiliko, lakini zileiendelea kuwa hivyohivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.