Nini husababisha maziwa kulala?

chardboy77

Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
53
Reaction score
5
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
 
maziwa kulala husababishwa na kuwaachia wanaume wayabembee mara nyingi iwezekanavyo na kusababisha suspendary ligaments kulegea na kushuka chini ya diaphragm ambapo carterputy itaundergo marginalization. simple like thatπŸ˜€πŸ˜€
 
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz

Baridi tuu, yakipata joto yatasimama
 
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz

Embu kamuulize dada yako hapo nyumbani akuambie kama umeshabalehe!
 
Kwa nini ukiwa mdogo unakuwa na nywele nyeusi, umri ukienda zinakua nyeupe? Vitu vingine viko nje ya uwezo wako mkuu.
 
Kuna mmoja alisema ukiyaimbia wimbo wa taifa hua yanasimama, sijui kama ni kweli
 
Maumbile tu na ukuaji wa mwanamke. Kwa sababu ukisema sababu ni kushikwa shikwa, kwani huyo mwanamke anapooga hayashiki shiki na kuyaminyaminya na sabauni ili kuyasafisha.
 
maziwa yanapochoka kusimama yanalala hapo mpaka uyapige jeki
kwani wewe yako yapoje ?

yamelala usingiz wa saa tisa usiku😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…