Nini husababisha maziwa kulala?

Nini husababisha maziwa kulala?

Inategemea na muda yanayolala...kama ni usiku basi utakuwa usinginzi...kama ni mchana basi utakuwa ni uchovu wa kifuani tu......
 
Weka picha basi tuone yanafananaje, yapo kama ndala au kama kadi ya klinik ??????????
 
yanalala tukunyonyesha mimeno inayovuta sigara na bangi
 
Mara nyingi hata Maziwa kulala yanasabishwa na maimbile ya mtuu Mimi jilishawahi kukutana na mwanamke anawatoto watano lakini ziwa ni dodo bana na nikanyonya kama Serengeti sikuamini

Hivyo basi Maziwa kulala ni aina ya homon ya mtu hakuna jinsi kama zako zimelala piga jeck ngoma iende
 
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz

Kwa ninavyojua mimi ni kwamba maziwa ya mwanamke yanalala kutokana na
-asili alikorithi mfano kwa bibi au mama au hata shangazi
-Pia kwa kunyonyesha sana mfano watoto wengi kwa muda mrefu (japo kuna wengine still hazilali)

Kufanya mazoezi hakufanyi maziwa kulala,tena zaidi kunaweza kufanya yasimame kulingana na aina ya mazoezi coz muscles zinajiexpand

Pia kutokana na diet unayopata.
 
Back
Top Bottom