Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

Joto kali na majaladio nadhani ndo yanachangia kubabua ngozi zao. Hata sie wanaume inatokeaga sana hasa wakati wa joto
 
Umalaya au vitu vya baridi hasa macola haya
 
Hahaha imebaki wazi imepigwa na bumbuwazi ahahaha aaaaaiiiiseee
 
Huo weusi unaondolewa aiseee,siku ukikutana na mwenye weusi unitafute nikuelekeze jinsi ya kufanya huo weusi utoke
 
Boxer unataka wachubuke sasa wewe ule msuguano unaujua?
 
ha ha ha.. hapana hapa lengo ni kusaidiana tu mi siwezi acha mgegeda msichana sababu ya rangi ya huko............................
Mmmm kwakweli wewe ni GuDume haswa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…