Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Kama mada inavyojieleza
Hivi ni nini hasa kinafanya wanawake kuwa wabinafsi kwenye suala zima la mali na mambo mengine kiuchumi?
Mfano mpo kwenye ndoa mke akiwa tu na kipato kikubwa kumzidi mume lazima ataleta ubinafsi katika umliki wa mali mlizochuma pamoja kisa tu yeye kachangia kikubwa.
Wakati mwanaume anaweza kuwa na uchumi mkubwa kumzidi mkewe lakini kwenye umiliki wa mali mfano nyumba anahesabu kama mali ya wote na anamshirikisha mke wake kwenye kila hatua ya maendeleo tofauti na wanawake wao wanafanya mambo peke yao bila kuwashirikisha waume zao
Najiuliza sana hii tabia ya hawa wanawake ya kujikweza na kujiona wanaweza kila kitu kisa tu wamewazidi uchumi waume zao.
Ukitaka kufa mapema mpe mtaji mkeo, oa mke mwenye kazi na uchumi mkubwa kukuzidi wewe mwanaume hakika hakuna rangi hutaacha kuiona.
Tuishi na kwa akili.