majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
😀 😀 😀 hapo ndio tatizo lilipoanzia. Hawakutakiwa kuachiwa kutawala familiaHawakuumbiwa busara kwenye mamlaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 hapo ndio tatizo lilipoanzia. Hawakutakiwa kuachiwa kutawala familiaHawakuumbiwa busara kwenye mamlaka
😀 😀 😀 hapo ndio tatizo lilipoanzia. Hawakutakiwa kuachiwa kutawala familia
Kuna mambo mengi ndugu mdau,Kama mada inavyojieleza
Hivi ni nini hasa kinafanya wanawake kuwa wabinafsi kwenye suala zima la mali na mambo mengine kiuchumi?
Mfano mpo kwenye ndoa mke akiwa tu na kipato kikubwa kumzidi mume lazima ataleta ubinafsi katika umliki wa mali mlizochuma pamoja kisa tu yeye kachangia kikubwa.
Wakati mwanaume anaweza kuwa na uchumi mkubwa kumzidi mkewe lakini kwenye umiliki wa mali mfano nyumba anahesabu kama mali ya wote na anamshirikisha mke wake kwenye kila hatua ya maendeleo tofauti na wanawake wao wanafanya mambo peke yao bila kuwashirikisha waume zao
Najiuliza sana hii tabia ya hawa wanawake ya kujikweza na kujiona wanaweza kila kitu kisa tu wamewazidi uchumi waume zao.
Ukitaka kufa mapema mpe mtaji mkeo, oa mke mwenye kazi na uchumi mkubwa kukuzidi wewe mwanaume hakika hakuna rangi hutaacha kuiona.
Tuishi na kwa akili.
Asikwambie mtu mkuu, dunia imebadilika sana, mwanamke akiwa na kitu zama hizi hiyo ndoa ina 80% ya kuvunjika, itokee neema ya Mungu tu. Ubinafsi, tamaa, ujeuri, ujuaji vyote hivi havikosekani ndani ya ndoa ambayo mwanamke pia ana kipato.Ilo ni suala ambalo linajulikana, na ipo ipo tangu zama za nyuma lakini kuna msuguano ambao umeibuka katika zama za sasa.
Tupo katika zama za 50/50 mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta na tumeona wanawake wakifika hatua za juu zaidi ya wanaume mfano mzuri hapa nchini kwetu tuna Rais na Spika ambao ni wanawake.
Mnapokua ndoani wote mnatumia muda wa ndoa, kwa maana iyo kila mmoja anatakiwa kuleta output katika huo muda anaotumia sasa kusema kwamba mke atoke kutafuta halafu hapo hapo kipato chake kisihusishwe kwenye ustawi wa familia this is premier abuse of marriage time which a husband and wife are accountable to.
Mkuu unajua hii yote inatokana na zana kwamba ego ya mwanaume ni uchumi alionao, ndio maana anauliza kama kwanza unakwanja maana kwao ni rahisi kuheshimu ukiwa na pesa.. Na Sio lazima kupenda, sasa wao wakiwa na huo uchumi wanaona Ile ego inayokupa haki ya kumtawala ndio iko kwao .. Wewe ndio jukumu lako uheshimu... Ingawa si wanawake wote hufanya hivi ila wengiKama mada inavyojieleza