Nini Husababisha Watoto Wachanga Kulia Bila Sababu Hasa Nyakati Za Usiku!

Mr Kind

Senior Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
178
Reaction score
308
Hili huwa linanichanganya sana akili yangu. Watoto wadogo hasa miezi miwili + mara nyingi huwa wanalia sana bila sababu. Hii hupelekea watu hasa kina mama kuamini kuwa mtoto anapolia mara kwa mara basi huashilia kuwa ana umwa, hili mimi kwangu limekuwa gumu kuamini kwani sidhani kama dalili moja wapo ya ugonjwa ni kulia.

Nategemea kuona mtoto anayeumwa akiwa hana raha na mnyonge mnyonge kuliko kulia sana hata akipewa ziwa analikataa.

Wataalamu tafadhali, naomba kufahamu kama kuna sababu zozote za kibailojia zinazomfanya mtoto kulia lia sana hasa mida ya jioni /usiku. Asante
 
hawa ni viumbe wasafi katika ulimwengu wa roho hivyo nyakati za usiku miili yao huhissi na kuona kwa macho viumbe wengine wa ajabu watishao ambao sio wanadamu wa kawaida na kuwafanya walie kwa hofu, hivyo wewe kama mzazi unapaswa kumwombea mtoto mapema kila siku kila saa kila dakika inapokupasa kufanya hivyo ili kukemea hixo nguvu za asili za mizimu. unapaswa kuwa rohoni ili kuelewa hili. wafunike kwa Damu ya Yesu utalala nae vizuri bila hofu yoyote.
 
Hili huwa linanichanganya sana akili yangu. Watoto wadogo hasa miezi miwili + mara nyingi huwa wanalia sana bila sababu. Hii hupelekea watu hasa kina mama kuamini kuwa mtoto anapolia mara kwa mara basi huashilia kuwa ana umwa, hili mimi kwangu limekuwa gumu kuamini kwani sidhani kama dalili moja wapo ya ugonjwa ni kulia.

Nategemea kuona mtoto anayeumwa akiwa hana raha na mnyonge mnyonge kuliko kulia sana hata akipewa ziwa analikataa.

Wataalamu tafadhali, naomba kufahamu kama kuna sababu zozote za kibailojia zinazomfanya mtoto kulia lia sana hasa mida ya jioni /usiku. Asante
Copy and Paste

Sababu 6 Kubwa za Mtoto Mchanga Kulia Usiku

1. Njaa

Mtoto akiwa na njaa na anahitaji chakula anaweza kulia ili kutaka shida yake itatuliwe. Lakini kwa bahati mbaya hana namna ya kukujulisha kuwa ana njaa zaidi ya kilio. Ni vyema kufahamu aina ya sauti ya kilio inayoashiria njaa. utajua hili kwa mazoea yako ya kila siku na mtoto wako. Njaa ni mojawapo ya sababu kubwa kabisa ya mtoto mchanga kulia.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Mpe mtoto chakula kila mara kutokana na ulivyompangia. Kumbuka mtoto anakula kidogo na mara kwa mara.

Kama mtoto anaendelea kulia baada ya kula au anakataa chakula basi kutakuwa na sababu nyingine

2. Joto au Baridi

Kama ilivyo kwa watu wazima,joto kali kupita kiasi au baridi inakufanya ujisikie vibaya na kutafuta jinsi ya kurekebisha kama vile kuvaa vazi zito kama kuna baridi au kuwasha feni au kiyoyozi,vivyo hivyo kwa mtoto mchanga, anahitaji kupata ubaridi kama kuna joto kali au kuvikwa nguo nzito ili apate joto kama kuna baridi

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Hakikisha mtoto anavaa nguo sahihi kulingana na hali ya hewa. Mpunguzie nguo au kufungua madirisha kama kuna hali ya joto.

Kama kuna baridi basi hakikisha unamvikanguo nzito mwilini ikiwemo miguuni na kichwani.

3. Uchovu na Usingizi

Watoto wanalia wakiwa na usingizi. Hii inatokea mara nyingi sana. Watoto wengi wana tabia ya kulia kabla ya kulala.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Fahamu kuwa mtoto anahitaji kulala muda mwingi sana inakadiriwa kuwa masaa yapatayo

Mtoto wa miezi 1-3: Masaa 15 (Mchana-5,Usiku-10)

Mtoto wa miezi 3-6: Masaa 14 (Mchana-4,Usiku-10)

Mtoto wa miezi 6-13: Masaa 12-14 (Mchana-3,Usiku-11)

Kama ukifahamu mtoto analia kwasababu ya usingizi au uchovu basi muogeshe na kumweka katika mazingira ya kulala(kumlaza mtoto)

Watoto wengine wanalala vizuri wakiwa wameshikwa mikononi na kuchezeshwa badala ya kitandani.

4. Kubebwa na Kukumbatiwa

Watoto wanahitaji kubebwa na kukumbatiwa. Hii ni njia yaasili ya kunesha upendo kwa binadamu huyu mdogo.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Mtoto anapokuwa amelazwa kwa muda mrefu huwa anachoka na anahitaji kumbadirisha namna ya kulala napengine kubebwa mikononi na kukumbatiwa. Sauti ya mapigo ya moyo ukimbeba kifuani kwako inamfanya ajisikie vizuri na kujiona anajaliwa.

5. Kubadirishwa Nepi

Mtoto anapojisaidia katika nguo zake anajisikia vibaya na kukosa uhuru.

Anahitaji kubadirishwa nepi,kuoshwa na kuvikwa upya

Mtoto akilia fikiria huenda amejisaidia na anahitaji kubadirisha nepi

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Mwangalie mtoto mara kwa mara kama amejisaidia na mbadirishe nepi zilizochafuka. Nepi zenye mkojo au haja kubwa zinaweza kumsababishia mtoto kuungua ngozi hivyo ziondolewe kwa haraka.

6. Ugonjwa wa Tumbo na Maumivu Mengine

Watoto wachanga wanasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo na wataalamu wanasema kuwa inaweza kusababishwa na chakula ambacho katika umri mchanga ni mziwa ya mama au maziwa ya bandia ambayo anapewa.

Kwakuwa mfumo wake wa chakula bado ni mpya na unaendelea kukua basi unapata shida kumeng’enya chakula.

Inaaminika kuwa gesi inajaza tumbo na kusababisha maumivu kwa mtoto.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Shida hii si rahisi kukabiliana nayo na imekuwa ikiwapa wakati mgumu wazazi kwa watoto chini ya miezi 3.

Kumlaza mtoto kifudifudi iliatoe upepo ni njia mojawapo inayoshauriwa lakini katika usimamizi(Ni hatari kumlaza mtoto mchanga kifudifudi kwa kuwa anaweza akajiziba hewa na kusababisha kifo).

Kumshikashika tumbo kwa mikono au kitambaa chenye maji ya uvuguvugu inaweza ikasaidia kumtuliza.

Kuna dawa za kusaidia kulainisha utumbo wa mtoto na kutoa gesi. Tafadhari onana na daktari wa watoto upate ushauri zaidi.

Mwisho..

Mtoto anaelia anahitaji msaada na anatoa mawasiliano kuwa ana shida. Kwakuwa hawezi kusema wala kuonesha ni nini unahitaji kuangalia mambo yote ya msingi kama yalivyotajwa ilikujua anasumbuliwa na nini.

Ugonjwa tumbo unachangamoto kubwa zaidi kukabiliana nao na kwa kweli unawasumbua watoto wengi na wazazi pia kwa kuwa hakuna kikubwa ambacho uaweza kufanya kuondoa maumivu kwa mtoto wako. Hata hivyo bado mbinu zilizotajwa zinaweza kusaidia kukabiriana na matatizo yanayosababisha mtoto mchanga kulia usiku.

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Asante kwa desa lako Mkuu!
 
Angali aina ya ulalaji wenu kama analala mwisho au pembeni ynu lazima atalia
Hebu jaribuni kumuweka katikati yenu. Alaf naomba nipe reply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho :Baada ya kufuatilia Kwa kina swala hili lililokuwa linamsumbua mtoto, hatimaye kwa msaada wa maelezo niliyoyapata toka vyanzo mbalimbali ikiwemo jukwaa hili hili kwa threads za zamani kidogo na baadhi ya wataalamu wa afya, mtoto alikuwa anasumbulia na gesi tumboni /chango (colic) na nashukuru baada ya kutumia dawa ambayo chanzo chake ni humu kwa sasa hasumbuliwi tena na tatizo hilo. Dawa hiyo inaitwa "infacol" brand toka UK, inaweza kutumika tangu mtoto anazaliwa na kwa maelezo ya wataalamu haina adhari.

Nilichojifunza, ni kweli kabisa hospitali ndio msaada wetu sahihi ulipo wa matatizo yetu ya kiafya lakini hata hivyo hatuna budi kujiongeza maana wanaotuhudumia ni binadamu wanaotegemea Kwa asilimia kubwa maelezo yetu ili kupata chanzo cha matatizo yetu

Pia tusisahau kuwa nao pia wana vitu vinavyoweza kuwafanya wasiwe katika hali nzuri (moodless) ya kutuhudumia kutokana na stress za maisha.

Tulitembelea hospitali mbili lakini zote hatukupata tiba sahihi (huenda pia mama mtoto alishindwa kujieleza, nayo yaweza kuwa sababu). Maelezo yalikuwa kwamba ni hali ya kawaida tu Kwa watoto na walimpatia "pain and fever relief" ambayo haikuwa na msaada mkubwa.

Tusidharau watu wanapoomba ushauri humu, nakumbuka zamani kidogo (2012 kurudi nyuma) Jf ilikuwa msaada wa taarifa nyingi zenye uhakika kuliko ilivyo sasa hivi. Kwa sasa ni kama kuna masikhara mengi na wale wataalamu ni kama wamesusa kutoa msaada wao humu!

Ni hayo tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Copy and Paste

Sababu 6 Kubwa za Mtoto Mchanga Kulia Usiku

1. Njaa

Mtoto akiwa na njaa na anahitaji chakula anaweza kulia ili kutaka shida yake itatuliwe. Lakini kwa bahati mbaya hana namna ya kukujulisha kuwa ana njaa zaidi ya kilio. Ni vyema kufahamu aina ya sauti ya kilio inayoashiria njaa. utajua hili kwa mazoea yako ya kila siku na mtoto wako. Njaa ni mojawapo ya sababu kubwa kabisa ya mtoto mchanga kulia.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Mpe mtoto chakula kila mara kutokana na ulivyompangia. Kumbuka mtoto anakula kidogo na mara kwa mara.

Kama mtoto anaendelea kulia baada ya kula au anakataa chakula basi kutakuwa na sababu nyingine

2. Joto au Baridi

Kama ilivyo kwa watu wazima,joto kali kupita kiasi au baridi inakufanya ujisikie vibaya na kutafuta jinsi ya kurekebisha kama vile kuvaa vazi zito kama kuna baridi au kuwasha feni au kiyoyozi,vivyo hivyo kwa mtoto mchanga, anahitaji kupata ubaridi kama kuna joto kali au kuvikwa nguo nzito ili apate joto kama kuna baridi

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Hakikisha mtoto anavaa nguo sahihi kulingana na hali ya hewa. Mpunguzie nguo au kufungua madirisha kama kuna hali ya joto.

Kama kuna baridi basi hakikisha unamvikanguo nzito mwilini ikiwemo miguuni na kichwani.

3. Uchovu na Usingizi

Watoto wanalia wakiwa na usingizi. Hii inatokea mara nyingi sana. Watoto wengi wana tabia ya kulia kabla ya kulala.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Fahamu kuwa mtoto anahitaji kulala muda mwingi sana inakadiriwa kuwa masaa yapatayo

Mtoto wa miezi 1-3: Masaa 15 (Mchana-5,Usiku-10)

Mtoto wa miezi 3-6: Masaa 14 (Mchana-4,Usiku-10)

Mtoto wa miezi 6-13: Masaa 12-14 (Mchana-3,Usiku-11)

Kama ukifahamu mtoto analia kwasababu ya usingizi au uchovu basi muogeshe na kumweka katika mazingira ya kulala(kumlaza mtoto)

Watoto wengine wanalala vizuri wakiwa wameshikwa mikononi na kuchezeshwa badala ya kitandani.

4. Kubebwa na Kukumbatiwa

Watoto wanahitaji kubebwa na kukumbatiwa. Hii ni njia yaasili ya kunesha upendo kwa binadamu huyu mdogo.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Mtoto anapokuwa amelazwa kwa muda mrefu huwa anachoka na anahitaji kumbadirisha namna ya kulala napengine kubebwa mikononi na kukumbatiwa. Sauti ya mapigo ya moyo ukimbeba kifuani kwako inamfanya ajisikie vizuri na kujiona anajaliwa.

5. Kubadirishwa Nepi

Mtoto anapojisaidia katika nguo zake anajisikia vibaya na kukosa uhuru.

Anahitaji kubadirishwa nepi,kuoshwa na kuvikwa upya

Mtoto akilia fikiria huenda amejisaidia na anahitaji kubadirisha nepi

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Mwangalie mtoto mara kwa mara kama amejisaidia na mbadirishe nepi zilizochafuka. Nepi zenye mkojo au haja kubwa zinaweza kumsababishia mtoto kuungua ngozi hivyo ziondolewe kwa haraka.

6. Ugonjwa wa Tumbo na Maumivu Mengine

Watoto wachanga wanasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo na wataalamu wanasema kuwa inaweza kusababishwa na chakula ambacho katika umri mchanga ni mziwa ya mama au maziwa ya bandia ambayo anapewa.

Kwakuwa mfumo wake wa chakula bado ni mpya na unaendelea kukua basi unapata shida kumeng’enya chakula.

Inaaminika kuwa gesi inajaza tumbo na kusababisha maumivu kwa mtoto.

Njia ya Kukabiri Tatizo:

Shida hii si rahisi kukabiliana nayo na imekuwa ikiwapa wakati mgumu wazazi kwa watoto chini ya miezi 3.

Kumlaza mtoto kifudifudi iliatoe upepo ni njia mojawapo inayoshauriwa lakini katika usimamizi(Ni hatari kumlaza mtoto mchanga kifudifudi kwa kuwa anaweza akajiziba hewa na kusababisha kifo).

Kumshikashika tumbo kwa mikono au kitambaa chenye maji ya uvuguvugu inaweza ikasaidia kumtuliza.

Kuna dawa za kusaidia kulainisha utumbo wa mtoto na kutoa gesi. Tafadhari onana na daktari wa watoto upate ushauri zaidi.

Mwisho..

Mtoto anaelia anahitaji msaada na anatoa mawasiliano kuwa ana shida. Kwakuwa hawezi kusema wala kuonesha ni nini unahitaji kuangalia mambo yote ya msingi kama yalivyotajwa ilikujua anasumbuliwa na nini.

Ugonjwa tumbo unachangamoto kubwa zaidi kukabiliana nao na kwa kweli unawasumbua watoto wengi na wazazi pia kwa kuwa hakuna kikubwa ambacho uaweza kufanya kuondoa maumivu kwa mtoto wako. Hata hivyo bado mbinu zilizotajwa zinaweza kusaidia kukabiriana na matatizo yanayosababisha mtoto mchanga kulia usiku.

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Wow, thanks [emoji106] [emoji108]

Shukrani sana kwa elimu hii
 
Back
Top Bottom