Youth Worker Tanzania
Member
- Nov 2, 2020
- 68
- 90
Wakuu kuna hili suala la baadhi yetu ambao tunasumbuliwa na mambo tofauti kimaisha.
Kwenye majukwaa ni rahisi kukuta mtu ameamua kuanika kinagaubaga yale anayofanya chumbani na mwenzi wake, au namna alivyonyanyaswa na mwenzake na mfano wa hayo.
Au hata wakati mwingine changamoto anazopitia ofisini au pale anapopatia riziki,
Wakati mwingine hata kushindwa kuzifuata mamlaka husika badala yake kubaki akilalama huku.
Suala hili linachangiwa na nini? Je, ni uwazi unaosababishwa na kufichwa kwa ID zetu?
Au ni kutokana na baadhi yetu kutojua zipi mbinu sahihi za kutafuta msaada way ale yatusumbuayo. Au ni kutokuwa na baadhi ya wataalam wa masuala ya saikolojia ambao wako tayari kuishirikisha jamii elimu ya msingi yaani basic knowledge juu ya kutafuta msaada au ni nini khasa?
Tuwe huru kushirikiana ili tuwasaidie wenzetu ambao huenda hili linawakumba.
Youth Worker
Hardness Teaches