Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kwasababu hata mwizi akiibiwa huwa anaumiaAnahis anayoyafanya yeye nawewe unafanya kumbe walaaaa
Cha kushangaza sasa yeye anasaliti ila wivu lukuki sijui kwanini yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu hata mwizi akiibiwa huwa anaumiaAnahis anayoyafanya yeye nawewe unafanya kumbe walaaaa
Cha kushangaza sasa yeye anasaliti ila wivu lukuki sijui kwanini yani
Wivu ni return ya upendo wenye hisia ndani yake kwani kupenda ni kitendo cha kumiss mtu kipindi hayupo karibu yako yani unajisikia mpweke akiwa mbali na ww tofauti ya upendo wa kawaida (Agape) na upendo wa love ni hisia ndizo zinatofautisha kati ya upendo wa Agape na upendo wa kimapenzi ambao upendo huo anaupata mtu ambae unaweza kufanya jambo lolote au chochote mbele yake bila ya kuoa aibu
Sasa wivu ni return ya upendo wa aina yeyote yani Agape na LOVE yani kwa lugha nyingine ni reflect inayokuja kwenye macho yako baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kuna dalili ya kuchukuliwa au kuondoka ndani ya Empire yako ambapo taarifa zinakwenda kwenye sehemu inayohusika na upendo ndipo zinakuja hisia za chuki dhidi ya kile au yule anayekuletea threat kwa mpenzi au kitu chako
Ndio mkuu. Ila mimi nna wivu pia kwa manzi angu ila sio kwamba nadhani anachepuka no, yani sometimes nikiwa nae alafu akawa anaongea na mtu hata ndugu yake au maza ake nakuwa na kawivu fulani yani nataka attention yake yote iwe kwangu yani akiwa na mimi dunia yake isimame na mimi nisimamishe yangu iwe ni mimi na yeye tuHahahaahhahahaahahahahaha lol kumbe
Mimi sio mshana mkuu ila nadhani atakuwa ameionaMshana una wivu wewe?
Mkuu haitakiwi ibidi sazingine bana.. Ukiona hivo ujue shetani anataka kukutumiaHa haa ile issue hakuna anaependa kushare. Basi tu inabidi sazingine
Mshana una wivu wewe?
Atakayekuja kunipata mimi atafurahi sana i real know how to invest in love halafu nina kipaji cha kudekeza[emoji23] [emoji144]Haa mshana wewe unapenda jam??
Hupendi kuwa wake wapekee??
Chukua mfano unammulika mwenzio machoni na touch maumivu atakavyo sikia ni kutokana na mwanga ulivyo mkali na mwanga mkali unasababiswa na betri zilivyo na nguvuAsante sana mkuu
Na ule wivu uliozudi je una madhara gani?? Make kuna watu wivu ni too much
Huo sasa ndio ubinafsi anaousema mshanaNdio mkuu. Ila mimi nna wivu pia kwa manzi angu ila sio kwamba nadhani anachepuka no, yani sometimes nikiwa nae alafu akawa anaongea na mtu hata ndugu yake au maza ake nakuwa na kawivu fulani yani nataka attention yake yote iwe kwangu yani akiwa na mimi dunia yake isimame na mimi nisimamishe yangu iwe ni mimi na yeye tu
Sijui kama ndio wenyewe ila nimesema sometimes sio muda wote.. Sijui hiyo variation in degree ya hiyo kitu inasababishwa na nini!Huo sasa ndio ubinafsi anaousema mshana
Usitake tukaanza kupanga foleni aiseAtakayekuja kunipata mimi atafurahi sana i real know how to invest in love halafu nina kipaji cha kudekeza[emoji23] [emoji144]
likely to beSaa zingine ni mapenzi kupitiliza na kuna muda mtu anatabia ya kusaliti sasa anaassume hata mwenza wake naye anatabia kama yake
Wivu upo sawa lkn wako umezidi mpka kwa ndugu zake!!!!Sijui kama ndio wenyewe ila nimesema sometimes sio muda wote.. Sijui hiyo variation in degree ya hiyo kitu inasababishwa na nini!
Ila wivu upo tu asee. Na sio kweli kwamba mwizi akihisi anaibiwa ndio anakuwa na wivi. Hata kama hauibi unapenda kweli wivu lazima uhusike. Kataa kubali ila ndio ivo
We utakuwa umechukulia vibaya mkuu.. Yani sio kwa kiwango hicho ulichodhaniWivu upo sawa lkn wako umezidi mpka kwa ndugu zake!!!!