Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Asante tumshukuru muumba wa mbingu na viumbe vyoteInshallah Mola anajaalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante tumshukuru muumba wa mbingu na viumbe vyoteInshallah Mola anajaalia.
Hahahaahhahahaahahahahaha mkuu umenichekesha sana na hii comment yako lol asantehuwa nawaza vitu ambavyo nafanyiwa na bee kuwa kuna mtu ambaye huwa anafanyiwa roo inauma sana alafu bila sababu sio kwamba ndio anafanya noo ni hisia tu ndio zinakuwa deep kama hayupo around naweza piga cm hata mara 15 kwa siku, niko na wivu kumliko nyegere ila namshuku mungu huenda ningeshakufa kwa presha ila naendelea vizuri kwa sasa
Signs of true love everlast, Pretending is the matter of time b4 recognition of reality!True love comes with jealousies it.
Nawale Wanaojifanya Wana wivu ili kuficha makucha yao je??
Kwenye hizo nilizokutajia wivu upo...Si unajua vishawishi na majaribu vinagonga hodi kila mara na ndio maana wivu hauishi..Kwahiyo hapa kati ya hizo status wivu ndo upo wapi vile mkuu??
Kwenye hizo nilizokutajia wivu upo...Si unajua vishawishi na majaribu vinagonga hodi kila mara na ndio maana wivu hauishi..
Kila mtu anajitahidi kumlinda mwenzie kwa kumuonesha wivu tu..ili asinyang'anywe tonge mdomoni..kama hivi wewe na Smart911
Aisee, kuna demu wangu wakitambo kidogo...alikuwa ananimind sana kwa nini sina wivu nae hata kidogo.
Nimegusa Penyewee..ila sio mbaya as long as tunajifunza
ahsanteThat's great. hongera
Salute sana kwako..nimejifunza mengi ambayo sikuyajuaTeh umegusa kunako khakhaakhaa
Kwa Smart911 sina ujanja pale nimemkamata Nina wivu mpaka moyo unanipasuka
Yeah we are here to learn some things mkuu don't worry
Kama yapi hayo mkuu nidokeze kiduchu
Wivu husababishwa na kutokujiamini..ubinafsi..na upendo kupita kiasi...
Vile vile wivu kwa kiasi fulani unasaidia kuboresha mapenzi na muda mwingine pia huharibu mapenzi ikiwa umezidi sana..Natumai umenipata kwa 'kiduchu'