Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Uchi katumia wa kwake, hajabakwa kajipeleka mwenyewe wewe unaumia nini kama sio uchoyo haupo tayari vitu vitamu avile na mwenzako
Duhhhhhhhhhhh mkuu!!
 
Hahahaahhahahaahahahahaha mkuu umenichekesha sana na hii comment yako lol asante
 
Kwahiyo hapa kati ya hizo status wivu ndo upo wapi vile mkuu??
Kwenye hizo nilizokutajia wivu upo...Si unajua vishawishi na majaribu vinagonga hodi kila mara na ndio maana wivu hauishi..

Kila mtu anajitahidi kumlinda mwenzie kwa kumuonesha wivu tu..ili asinyang'anywe tonge mdomoni..kama hivi wewe na Smart911
 
Hahahaahhahahaahahahahaha mkuu huo mfano wako lakini Tehtehteh

Cc: Smart911
 
Aisee, kuna demu wangu wakitambo kidogo...alikuwa ananimind sana kwa nini sina wivu nae hata kidogo.

Anaeza hisi labda humpendi ndomana na inauma dizaini fulani Wee mtu hana hata chemba au dalili ya kawivu nawewe dahhhhhhhhhhh?
 
Kama yapi hayo mkuu nidokeze kiduchu

Wivu husababishwa na kutokujiamini..ubinafsi..na upendo kupita kiasi...

Vile vile wivu kwa kiasi fulani unasaidia kuboresha mapenzi na muda mwingine pia huharibu mapenzi ikiwa umezidi sana..Natumai umenipata kwa 'kiduchu'
 
Nimekusoma mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…