Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Mkuu mie bado asee nipo nipo kwanza bado macho yangu hayajaona ila mungu atafanya wepesi maombi tu tuombeane mkuu

Nakuombea sana mkuu mungu akupe wepesi umpate wa kupendana nae Yale mapenzi yadhati make dunia hii maigizo nimengi sana mkuu mungu akupe macho ya rohoni mkuu mana haya ya mwilini ni dhaifu sana mkuu

Cc: Smart911
 
Ahsante ubarikiwe mkuu ahsante sana
 
Cc: Smart911
 
Ni kweli ila ni asili toka ASILI kuu! Hakuna namna ya kuikotroo. Hata ukihakikishiwa kupata vyote toka kwa huyo, vya ziada hutaki apewe mwingine. Nasikia hata hanithi naye ana wivu, msagaji eti pia naye.

Ubinafsi wa asili, nilishawahi kusikia mahali kwamba hapo mwanzoni watu walikuwa wakizaliwa mapacha kama njiwa, nao ndo huwa ndoa. Labda ulianzia hapo. Mbwa haswa majike na wanyama wengine hawana hii kitu.
 
Suppose wewe ni girl friend wangu na mimi uwa ninakupa gegedo la nguvu ambalo hujawahi kulipata maishani mwako, ukiniona naongea na kumkumbatia mwanamke mwingine utajisikiaje?

Nalia kwa sauti na michozi kabisa afu nakondaaaa kwa mawazo kuwa wats so special on her that I don't have!!
I will feel so bad
 
Sawa umenena vyema, kuongezea pia si ktk upendo wa love kama ulivyouita hata kwa agape, mfano watoto kwa wazazi wao. Kikubwa chanzo ni ubinafsi tu.
 
Sawa umenena vyema, kuongezea pia si ktk upendo wa love kama ulivyouita hata kwa agape, mfano watoto kwa wazazi wao. Kikubwa chanzo ni ubinafsi tu.

Ndoivo hakuna anayependa kushea mkuu eti uone kabisa kuwa juma Hamis john wote wanapita kwenye mali yako how will you feel??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…