Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri wataalamu waje wafanye interprerationLogic hio mkuu sio mimi
Mkuu mie bado asee nipo nipo kwanza bado macho yangu hayajaona ila mungu atafanya wepesi maombi tu tuombeane mkuu
Nice tryMkuu nimeunganisha premises nikapata conclusion mkuu that's logic khakhaakhaa
Hii ndio hasa inakera,she is so attractive pindi napoona anatongozwa tu na wapuuzi wengine moyo unawaka moto. Sinaga uhakika about what will happen thereafter ila i commit to stay strong. Huwa yanapita salama, anawachomolea. Ila wivu babaaa loh...at times tunagombanaga kabisa!
Anakufa kizungu na tie shingoniMkuu huyo wivu anao ila ni kujifanya roho ngumu tu
Jaman kwann sasa umeuliza swal nmejibuLol Bonny vibaya hivooo
Atarud jukwaani kutoa ushuhudaNa asishangae kuona wenye wivu wanamjali zaidi yake
Ni kweli ila ni asili toka ASILI kuu! Hakuna namna ya kuikotroo. Hata ukihakikishiwa kupata vyote toka kwa huyo, vya ziada hutaki apewe mwingine. Nasikia hata hanithi naye ana wivu, msagaji eti pia naye.Ubinafsi
Suppose wewe ni girl friend wangu na mimi uwa ninakupa gegedo la nguvu ambalo hujawahi kulipata maishani mwako, ukiniona naongea na kumkumbatia mwanamke mwingine utajisikiaje?
Sawa umenena vyema, kuongezea pia si ktk upendo wa love kama ulivyouita hata kwa agape, mfano watoto kwa wazazi wao. Kikubwa chanzo ni ubinafsi tu.Wivu ni return ya upendo wenye hisia ndani yake kwani kupenda ni kitendo cha kumiss mtu kipindi hayupo karibu yako yani unajisikia mpweke akiwa mbali na ww tofauti ya upendo wa kawaida (Agape) na upendo wa love ni hisia ndizo zinatofautisha kati ya upendo wa Agape na upendo wa kimapenzi ambao upendo huo anaupata mtu ambae unaweza kufanya jambo lolote au chochote mbele yake bila ya kuoa aibu
Sasa wivu ni return ya upendo wa aina yeyote yani Agape na LOVE yani kwa lugha nyingine ni reflect inayokuja kwenye macho yako baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kuna dalili ya kuchukuliwa au kuondoka ndani ya Empire yako ambapo taarifa zinakwenda kwenye sehemu inayohusika na upendo ndipo zinakuja hisia za chuki dhidi ya kile au yule anayekuletea threat kwa mpenzi au kitu chako
Sawa umenena vyema, kuongezea pia si ktk upendo wa love kama ulivyouita hata kwa agape, mfano watoto kwa wazazi wao. Kikubwa chanzo ni ubinafsi tu.