hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Taka nini veve? Kwani swahili iko jua hindi?
hahahahaTaka nini veve? Kwani swahili iko jua hindi?
Mitaa ya uhindini, hata kuoana ni wenywewe kwa wenyweweWazungu wanajichanganya sana na Waswahili! Lau kama shule zetu zingekuwa bora tungesoma hata na watoto wao! Wahindi sasa!!! Shule za Kihindi hindi!!! Kuchanganyika; na Wahindi hindi!! Mitaa wanayoishi; ya kihindi hindi!!!
Tunanyanyasika sana kubaniwa papuchi za kihindi ..wabaguzi sana hawa watuNingekua rais ningewatimua wore.hawataki hata sis tuoe mabinti zao
hahahaha
Dharau mnazitaka nyie ngozi ya gotiHawa wahindi wa tz wanajua kiswahili vizuri
Wana act tu kama hawajui, dharau
Wee kuwa na aibu kidogo... kiswahili limejaa lugha ya Kiarabu ns kipindi kipo humo...Hili swali huwa linanishangaza sana! Muhindi ana zaidi hata ya miaka 30 au amezaliwa na kuzeekea hapa ila kuongea kiswahili kwa ufasaha ni shida kubwa.
Ila wazungu wanaokuja kwenye miradi au shughuli zingine kwa miaka mitano tu eneo analofanyia kazi ataijua lugha hiyo kwa muda mfupi, hata kama hapo zinatumiwa lugha zaidi ya moja zote atazijua na kuongea vizuri. Ila wahindi wengi wako mjini tena wana maduka makubwa yaani tunaingiliana sana kupitia biashara lakini kiswahili kwao ni shida.
Je, wewe unaona nini hupelekea hili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Taka nini veve? Kwani swahili iko jua hindi?