Nini hutokea ligi ikiisha timu mbili za mwanzo zikalingana kwa kila kitu?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Jamani ligi kuu Uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna uwezekano pia goli differ ikawa sawa kabisa.

Jinsi ninavyoona head to head ya timu hizo mbili ikafanana na factors nyingine pia.

Swali langu ni je nini ufanyika inapotokea hali hiyo? Ligi hurudiwa?Kombe hugawanwa? Au busara gani hutumika?

Karibuni kwa mchango
 
Jamani ligi kuu uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna uwezekano pia goli differ. ikawa sawa kabisa.Na jinsi ninavyoona head to head ya timu hizo mbili ikafanana na factors nyingine pia.
Swali langu ni je nini ufanyika inapotokea hali hiyo?ligi urudiwa?kombe hugawanwa?au busara gani utumika?
karibuni kwa mchango povu linaruhusiwa
Kila ligi inasheria zake za kupata mshindi, kwa ligi ya England endapo timu zote zitafanana point huwa wanafuata vitu vifuatavyo
1. Goal difference
2. Head to head
3.Goal za kufunga
4. Goal za kufungwa
Endapo vipengele vyote hapo juu mshindi ajapatikana wanarusha shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vp zikiwa sawa?
 
kwamba watalingana hata kadi nyekundu, njano, onyo...acha basi. Eti wapewe mechi moja pale Wembley bado walingane. We jamaa kuna kitu unataka kijibiwe na watu wasiojulikana.
Leo wametoa droo hawa jamaa hpo anajaribu kututoa kwenye mstari tu hana cha nn wala nn wangeshinda ungeona maneno yke hmu ndani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ligi inasheria zake za kupata mshindi, kwa ligi ya England endapo timu zote zitafanana point huwa wanafuata vitu vifuatavyo
1. Goal difference
2. Head to head
3.Goal za kufunga
4. Goal za kufungwa
Endapo vipengele vyote hapo juu mshindi ajapatikana wanarusha shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ya kurusha shilingi ni kweli??
 
Jamani ligi kuu uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna uwezekano pia goli differ. ikawa sawa kabisa.Na jinsi ninavyoona head to head ya timu hizo mbili ikafanana na factors nyingine pia.
Swali langu ni je nini ufanyika inapotokea hali hiyo?ligi urudiwa?kombe hugawanwa?au busara gani utumika?
karibuni kwa mchango povu linaruhusiwa
If two or more teams end up with same points in points table, then team having more Goal Difference i.e., Goals Scored minus Goals Against, wins the title.

if Goal Differences are also same for those teams, then team having more Goals Scored would win the title.

And if Goals Scored are also same for those teams, then all those teams on top having same points, same goal differences and goals scored would compete in a playoff match at a neutral ground.

Reference: English Premier League Wikipedia

History:

1. 2011-12 EPL, Manchester City and Manchester United: Manchester City won the title by having +8 goal difference.

2. 1988-89 EPL, Arsenal and Liverpool: Arsenal won the league championship on goals-scored, after finishing level on points and goal-difference with Liverpool.

thnx mkuu
 
Back
Top Bottom