Nini hutokea ligi ikiisha timu mbili za mwanzo zikalingana kwa kila kitu?

Nini hutokea ligi ikiisha timu mbili za mwanzo zikalingana kwa kila kitu?

Anaitwa adam mchovu tu hapo
anatembeza mitama ya nguvu kwa makocha woteee...atakayedondoka kaaga mashindano
 
Kila ligi inasheria zake za kupata mshindi, kwa ligi ya England endapo timu zote zitafanana point huwa wanafuata vitu vifuatavyo
1. Goal difference
2. Head to head
3.Goal za kufunga
4. Goal za kufungwa
Endapo vipengele vyote hapo juu mshindi ajapatikana wanarusha shilingi



Sent using Jamii Forums mobile app
Si rahisi kulingana vyote hivyo. Away goals?
 
Jamani ligi kuu uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna uwezekano pia goli differ. ikawa sawa kabisa.Na jinsi ninavyoona head to head ya timu hizo mbili ikafanana na factors nyingine pia.
Swali langu ni je nini ufanyika inapotokea hali hiyo?ligi urudiwa?kombe hugawanwa?au busara gani utumika?
karibuni kwa mchango povu linaruhusiwa
Kwa mtu anayefuatilia soka, wala hukupashwa kuuliza swali kama hili.
 
Back
Top Bottom